Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

Yaani jana tu nimemkuta anammendea binti aliyejitangaza anapenda pweza halafu akapotea mazimaa, leo kuna mwingine anataka akamdhibitishe halafu amepotea kabisaa. Hivi mie nitakuwa na moyo wa chuma au??? Babu moyo wangu ni wa nyama, mengine nipunguzie mie
Ukipenda boga penda na maua yake!! Hayo ndio maua ya mumeo so yavumilie tu, we si ulijitoa ufahamu!!!
Siku ufahamu ukikurudia mie na Shunie tutakupokea tu maana hamna namna.
 
Back
Top Bottom