Alikuwa nani!?[emoji5]Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Ohooooo umefukua kaburiiii[emoji134] [emoji134]Mrejesho please my Ex
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Babu Asprin kanyonya asali imekwisha alafu eti ndiyo unajidai umenizimikia???[emoji125][emoji125][emoji125][emoji137][emoji137]
Yes my name
Usifukue kaburi banaaAlikuwa nani!?[emoji5]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Usifukue kaburi banaa
ndio my Ex...Ohooooo umefukua kaburiiii[emoji134] [emoji134]
Atakuwa Gudume tu huyo...Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
[emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Tufanye huu uzi uniachie tu mimi, maana bado sijawahi kuzimikia mtu humu naona nyota inaweza kung'aa sasa hivi
Fukia saasandio my Ex...
nikipendaFukia saasa
Za masikuYes my name
Mwambie tunaganga ya jayoUsifukue kaburi banaa
Mkuu tumbe sisi ndo alituachia wla hana mamlaka nao tena ushahidi muulize Shunie[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Tufanye huu uzi uniachie tu mimi, maana bado sijawahi kuzimikia mtu humu naona nyota inaweza kung'aa sasa hivi
Kwani si ulituachia wewe mbona wajichekesha tu?[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hivi huyo ni ex wako eeh?Fukia saasa
Toa hizo cartoon hapo kwenye avatar, weka avatar ya mrembo na wewe. Mpaka anakuogopa sababu ya hiyo avatar