Kuna mtu nimemzimikia

Najua wapi nimekuta mnazungumza na mm nimetajwa nimeuliza
Ni hivi.
Huyu mleta uzi alituambia tuachane na hili kaburi, mimi nikamuambia tuachie sisi tuendelee kulienzi maana wengine kama mimi sijawahi kuzimikiwa.

Manga ndio akaja akaniambia ni kweli hili kaburi tuliachiwa na mwenye ushahidi ni Shunie, halafu nikamwambia nitamuuliza ili nithibitishe
 
Umeongea vyema kabisa
 
Ni kweli huu uzi alituachia husna bada ya kumpata anayemzimikia teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…