Asante sana [emoji4][emoji4]Ha ha haaa ulimwengu mwengine aisee hongela kwa kupaishwa kila siku
Kupaishwa tena[emoji15] [emoji15]Ha ha haaa ulimwengu mwengine aisee hongela kwa kupaishwa kila siku
Ananikutaga kwa kweli sijajua anakuaga wapi mana simuonagiNa we si ndio unapoonekana pia kwahiyo mnaonana wote
Unaonaje ukitugawia Mapupu maana enzi hizo nilikuwa bado sijajiunga na JFNi kweli huu uzi alituachia husna bada ya kumpata anayemzimikia teh
Mkuu unaweza kwenda ulimwengu mwingine bila kupaa kweli?Kupaishwa tena[emoji15] [emoji15]
Ni kweli mkuu.Mkuu unaweza kwenda ulimwengu mwingine bila kupaa kweli?
Nilikuambia Shunie hataniangusha, nadhani umeona
Aiseee kumbe Mwifwa we ni mupyaUnaonaje ukitugawia Mapupu maana enzi hizo nilikuwa bado sijajiunga na JF
Ndio.Aiseee kumbe Mwifwa we ni mupya
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Me najuaga we muhenga ujue kama kina MangaNdio.
Huu uzi ni wa January, mimi nimekuja April
Hapana.Me najuaga we muhenga ujue kama kina Manga
Kho Kho Kho Kho Kho KhoHapana.
Mimi ni wa juzi tu, ila nashukuru nimeweza kujichanganya na kuelewana na wengi sana humu.
Na kufaidika mambo mengi nje ya JF kutokana na JF.
Heko JF na heko FB iliyonifanya nijiunge JF
HallelujahHapana.
Mimi ni wa juzi tu, ila nashukuru nimeweza kujichanganya na kuelewana na wengi sana humu.
Na kufaidika mambo mengi nje ya JF kutokana na JF.
Heko JF na heko FB iliyonifanya nijiunge JF
Nikuletee nini etiKho Kho Kho Kho Kho Kho
Dada buana ebu sema kweliAko na id ya zamani huyoo
Cc jiwe
Azam juiceNikuletee nini eti