Kuna mtu nimemzimikia

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwakweli hilo limetoka moyoni kabisaaaaaaa[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
kwa kweli nishakua fungu la kukosa
 
Haaaaahh haaaahh..! Ila huku kuanikana sio poa kabisa "LADIES" si wajua haya mapenzi ni kikohozi sasa mnataka tukabanjie wapi.!?
 
Du, hiyo ni psychological hazard siyo stress. Yaani thread tu unahisi upo naye? Maybe, lakini mimi bado siamini
 
Samahani mama,mbona huyu hukumuuliza kama “huko shule mlienda kusomea ujinga?"...ushauri wako mzuri but vipi kama huyo aliempenda sio muislam...afanyeje?

Aachane nae kabisa.
 
kwa kweli nishakua fungu la kukosa
Tatizo wewe nikikwambia kabichwa kanakuwa kakubwa na nyumbani sitokuona wiki, sasa hivi ni siri yangu nitakuwa sikwambii.
 
Teh...nasubiria kabandiko kako kama haka.

Ntakuwa msomaji aseeeh
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Utasubiri sana, labda hadi bashite aweke vyeti.
 
Tatizo wewe nikikwambia kabichwa kanakuwa kakubwa na nyumbani sitokuona wiki, sasa hivi ni siri yangu nitakuwa sikwambii.
tuliapa hata kifo hakitatutenganisha unakumbuka?
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Utasubiri sana, labda hadi bashite aweke vyeti.
Bashite huyu huyu daudi au!

Hata basi lina siti za offer bhn.
 
Husna wangu ,nakumbuka ulivyokuaga huelewi chochote wakati tunafahamiana mwisho wa mwaka 2011 naona unekuwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…