MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,057
- 39,387
kwa kweli nishakua fungu la kukosa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwakweli hilo limetoka moyoni kabisaaaaaaa[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa kweli nishakua fungu la kukosa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwakweli hilo limetoka moyoni kabisaaaaaaa[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Samahani mama,mbona huyu hukumuuliza kama “huko shule mlienda kusomea ujinga?"...ushauri wako mzuri but vipi kama huyo aliempenda sio muislam...afanyeje?
Tatizo wewe nikikwambia kabichwa kanakuwa kakubwa na nyumbani sitokuona wiki, sasa hivi ni siri yangu nitakuwa sikwambii.kwa kweli nishakua fungu la kukosa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Teh...nasubiria kabandiko kako kama haka.
Ntakuwa msomaji aseeeh
Usijibu kibabe wewe.. Unaweza kuwa wewe ukatemwaKwahiyo?!.
Uyo si anaitwa husna?Kwanza hakuna Mwanaume anayekataa papuchi,
Madame sisi ni mazombie,
na sikuzote zombie halishibi damu
tuliapa hata kifo hakitatutenganisha unakumbuka?Tatizo wewe nikikwambia kabichwa kanakuwa kakubwa na nyumbani sitokuona wiki, sasa hivi ni siri yangu nitakuwa sikwambii.
Nakutaka ww tuUsijibu kibabe wewe.. Unaweza kuwa wewe ukatemwa
Bashite huyu huyu daudi au![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Utasubiri sana, labda hadi bashite aweke vyeti.
Hahahaaa..Wenye wake sehemu kama hizi msiwe mnatujazia foleni.
Mmmhhh.. Me mke wa mtu uyo yuko singleNakutaka ww tu
Halafu wewe unilipage kila siku nakuchekesha tuHahahaaa..
Mzee mwenzangu.
Kwan mm sio mtu?!Mmmhhh.. Me mke wa mtu uyo yuko single
Huyo huyo, akiweka tu nistue nami nimtaje.Bashite huyu huyu daudi au!
Hata basi lina siti za offer bhn.