Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

50be60894cf66ff7e3b37612befc2c5f.jpg


Mkuu The bold, sio kwakujifanya huuoni huu ujumbe wa bibie
 
Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Pale nguvu ya kiroba inapokosa mwilini,

Madhara yake ni haya na tutasikia mengi.

Viroba vingekuwepo, hapa fasta unabugia kamoja mawazo yoooote kulee
 
Maskini sijui umependa ID au AVATAR? Pole sana
 
umempenda mtu kwa swaga zake tu!
hujamuona wala hujui tabia yake... ok! ushauri wangu muombe urafiki wa kawaida hayo mengine yatakuja yenyewe!
 
Kuliko nife na fundo kooni nitakohoa yaishe. Mfuate PM muulizie kaushauri na hapo ndo pa kuanzia
 
Funguka inbox kwake usiogope SI UNAJUA HAMNA MKATE MGUMU MBELE YA CHAI YA MOTO?? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom