Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaelewa tu usijali la azizihuko kwenye kufuli ata sijui kunafunguliwaje ila una kiswahili ata sijui umemanisha nn kuhusu madaraja nikiuliza nitaambiwa maswali
Babu shikamooErrrrrr????
Habali mkuuErrrrrr????
Wanavyokuzingiraga natamani kuwq mfagizi hata chumbani mwako [emoji13][emoji13]Hapana... mi nalea tu. Kukamia nimewaachieni myie vijana wangu...
Kuna mtu kanambia umeingia kwenye anga zangu. Ni kweli???Habali mkuu
Kabla sijaitikia naomba muhrasari wa yaliyojiri. Kuna mtu kakiuka mamlaka??Babu shikamoo
Ha ha haaa hili neno niliwahi kumuambia kwa namna ingineWanavyokuzingiraga natamani kuwq mfagizi hata chumbani mwako [emoji13][emoji13]
Huyo kakudanganya mii mpaka nipate ruksa yakoKuna mtu kanambia umeingia kwenye anga zangu. Ni kweli???
Ha ha haaaa umepatia
Hapo sawa, usije ukajaribu.Huyo kakudanganya mii mpaka nipate ruksa yako
Ila babu umezeeka bhana...nafikir ni wakati wa kuniachia mikoba yako yote.Mwambie mi nimeathirika... asije akarithi mwathiriko kwa kutafuta ushujaa. Sakayo ni mali yangu binafsi...
Na kuathirika kwangu siko anakokufikiria yeye...
[emoji1] [emoji1] [emoji1]husna njo msikie baby wako