Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Hataki kusemahivi alikua wapi jana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hataki kusemahivi alikua wapi jana
Huko napomkutaga ndio nimemkataza asikupeleke. Sitaki akuambukize tabia mbaya...Hebu muwe wa kweli, huwa mnakutana wapi???
Na mie mnipeleke huko
Ananipendea vingi...na ndio unachompendea
Endeleeni kubishana, mkimaliza mkuje na jibu mojanaongea ukweli kabisa
Mpe Like hata pasipostahili..
Mquote hata pasipoquotika..na mara nyingi tumia kale ka-emoji ka kusmile..atajua tu!!
Kabisaana ndio unachompendea
Hahahhh nimekua shilawaduHahaaa
We jitetee tu, Shunie hawezi nisaliti
Yule shilawadu. Sema hanipati. Leo nakuletea limbwata uniwekee...
Kule wapiihivi haupogo kule kafufua post yangu ya zamani anaanza kuniqoute kwaresma
Uko hakukufai kama haupo huko ni madyudyu na papuchi tuHebu muwe wa kweli, huwa mnakutana wapi???
Na mie mnipeleke huko
Na wewe unaanza uchochezihayo maneno ungewaambia wakina Daby ukiwa haupo wanammendea mkeo
Bora aiseeeHehehe
Hapo ndo hatokaa afanikiwe kabisaa
hahahhhhhHuko napomkutaga ndio nimemkataza asikupeleke. Sitaki akuambukize tabia mbaya...
lipi hiloEndeleeni kubishana, mkimaliza mkuje na jibu moja
Hilo la kuniletea sitaki, natafuta mwenyeweYule shilawadu. Sema hanipati. Leo nakuletea limbwata uniwekee...
Nimeipenda hii ntaifanya [emoji23]Mpe Like hata pasipotahili..
Mquote hata pasipoquotika..na mara nyingi tumia kale ka-emoji ka kusmile..atajua tu!!
kwenye madyudyuKule wapii
Ni wapii huko babu wa moyo wangu, ndo kunakufanya unisahau kweliHuko napomkutaga ndio nimemkataza asikupeleke. Sitaki akuambukize tabia mbaya...