Kuna muda huwa siwaelewi Watanzania na huenda ndiyo maana baadhi ya Mataifa jirani na makubwa yanatudharau bila Sisi kujijua

With due respect, tofautisha kati ya hao mnaowaita Sukuma Gang na CCM!!

Hilo kundi la kwanza sio CCM kwa maana ya wafuasi wa chama bali walikuwa Wafuasi wa Mtu... wafuasi wa Mwendazake!!

Kundi hilo wala hawajali kuona CCM ikiparaganyika kwa sababu hawana uchungu wowote na chama au ufuasi kwa chama!! Na amini usiamini, wangefurahi sana kuona CCM na Serikali yake ikivurugika na kusambaratika wakati huu ili waendelee kuaminisha watu na kuimba kwamba "enzi za Shujaa haya yasingetokea"!!

Mwana-CCM wa kweli, mwenye ufuasi wa CCM hawezi kumtakia mabaya Rais anayetokana na CCM!! Na hata ukiwasoma, ni rahisi sana kuona tofauti kati ya hao wa kundi la kwanza, na Wafuasi wa CCM!!!

To be honest, I hate the name Sukuma Gang, ingawaje nafahamu wapo miongoni mwao ambao walikuwa wanaunga mkono kila kitu kutoka kwa Mwendazake huku wakifanya hivyo kwa kusukumwa na ukabila!!!
Uko sahihi mkuu.
 
Hayati Hana zuri lolote zaidi ya ushetani wake na udikteta ,,wanaomuunga mkono Hayati wengi ni mazuzu wasiojitambua na wasukuma wenzie
Unateseka ukiwa wapi?

Kwamba hana zuri lolote?. Wewe ni kati ya watu ambao mleta uzi amewataja.

Wenzio tunao pita Ubungo pale tu tunaelewa uzuri wake. Na nikienda kijijini kwetu ndani ndani huko nakuta maji na umeme na kituo cha afya basi hunibandui kwa hayati.
 
With due respect, tofautisha kati ya hao mnaowaita Sukuma Gang na CCM!!

Hilo kundi la kwanza sio CCM kwa maana ya wafuasi wa chama bali walikuwa Wafuasi wa Mtu... wafuasi wa Mwendazake!!

Kundi hilo wala hawajali kuona CCM ikiparaganyika kwa sababu hawana uchungu wowote na chama au ufuasi kwa chama!! Na amini usiamini, wangefurahi sana kuona CCM na Serikali yake ikivurugika na kusambaratika wakati huu ili waendelee kuaminisha watu na kuimba kwamba "enzi za Shujaa haya yasingetokea"!!

Mwana-CCM wa kweli, mwenye ufuasi wa CCM hawezi kumtakia mabaya Rais anayetokana na CCM!! Na hata ukiwasoma, ni rahisi sana kuona tofauti kati ya hao wa kundi la kwanza, na Wafuasi wa CCM!!!

To be honest, I hate the name Sukuma Gang, ingawaje nafahamu wapo miongoni mwao ambao walikuwa wanaunga mkono kila kitu kutoka kwa Mwendazake huku wakifanya hivyo kwa kusukumwa na ukabila!!!
CCM ni chama kinachohitaji watu. Na uongozi wa watu/mtu ndio unafanya chama kipate wafuasi.

Huu mtazamo wako ni wa kizamani sana tafadhari usiwaponze wana ccm wenzio.

Mtu akiharibu chama kinaharibika.
 
Absolutely Rubbish..!!!
Mwelewe anachotaka kukwambia...Nchi yetu ina mfumo angalau japo unapelekeshwa na individuals...Za wenzetu ni purely individuals or group of individuals
 
Ni Watanzania Sisi ( GENTAMYCINE ) nikiwemo wakati wa Uongozi wa Hayati Rais Dkt. Magufuli tulikuwa tunalalamika Mzunguko wa Hela ni mgumu na hata Kumlaumu Hayati kwa kutokupenda Kwake ' Kujichanganya ' na Mataifa Jirani na hata Makubwa ili Maendeleo ya haraka yapatikane na Ustawi wetu uwepo.

Haya hivi sasa tuna Rais Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan ambaye taratibu anaanza ' Kujjtanua ' kwa Kushirikiana na Mataifa Jirani na Makubwa hadi Kuwavutia Wawekezaji wakubwa ili aweze kurudisha Mzunguko wa Pesa nchini, Miradi mingi itakayochochea upatikanaji wa Fursa za Ajira ili akina GENTAMYCINE tuondokane na Umasikini ( Unyonge ) wa Kipesa tulionao tumeanza tena ' Kumzodoa ' na ' Kumzoza ' Mama wa Watu kuwa sijui anauza nchi na anaipeleka nchi kubaya.

Hivi Watanzania tunataka nini? Tunajitambua kweli? Hizi Nongwa na huu Unafiki wetu ' uliotutukuka ' zina Faida gani? Ni kwanini tunakuwa ni Watu tu wenye Majungu, Visununu, tusiokuwa na Uvumilivu wala Shukrani? Tumelorogwa na nani ili tuwaombe Viongozi wa Kidini watuombee au tufunge tumlilie Mwenyezi Mungu?

Mama wa Watu masikini ( Rais Samia Suluhu Hassan ) hana hata Siku 100 tu Ofisini tayari kuna Mifalme Njozi ' Mipopoma ' inajifanya imeshajua kule ambako anatupeleka wakidai kuwa anatupoteza na kwamba hawezi Kuongoza kama ilivyokuwa kwa Mtangulizi wake Hayati Rais Dkt. Magufuli.

Leo hii baadhi yetu tunamsema kwanini Mama ( Rais Samia Suluhu ) ana ukaribu mno na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na kwamba ndiyo anamuongoza Kiuongozi kitu ambacho hata hivyo Mimi GENTAMYCINE sioni tatizo lolote lile juu ya hilo.

Mbona wakati Hayati Rais Dkt. Magufuli alivyokuwa Madarakani alikuwa na ukaribu sana na Rais Mstaafu Hayati Benjamin Mkapa na ndiyo alikuwa akimuongoza na tulikuwa hatusemi?

Kama Great Thinkers, Academicians na Think Tanks wa Tanzania tunaacha Kumsaidia Mama ( Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ) kwa Ushauri na Mawazo ' very Constructive ' ya kuitoa Tanzania yetu hapa ilipo na ikimbizane na Mataifa mengine Kutwa tu tunakalia Majungu, Umbea, Wivu na Unafiki.

Kwako Mheshimiwa Rais wangu ( wetu ) Mama Samia Suluhu Hassan tafadhali nakuomba Ongoza nchi kwa ' Style ' yako na kamwe usitusikilize Sisi ' Wanafiki Wakomavu ' wa Kitanzania tusio na hata chembe ya Uvumilivu na Shukrani ndani ya Mioyo yetu na Roho zetu pia.

Kitabu cha Rais Hayati Dkt. Magufuli kimeshafungwa na sasa ni wakati wa Kuandika Kitabu chako na Wewe ukiingia tu katika Mtego wa Kusikiliza ' Majungu ' yetu Sisi ' Waswahili ' utapoteza Dira yako na ndiyo utakosea na Kuongoza nchi vibaya kisha utakuwa umeshawapa ' Waswahili Wanafiki ' cha Kusema na ' Nongwa ' zao ( zetu ) kuzidi.

Chapa Kazi Mama yetu ( Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ) TUNAKUPENDA na tutakuombea MAFANIKIO kwa Mwenyezi Mungu ( Allah ) na Binafsi kama GENTAMYCINE wala sina Shaka nawe kwani najua unaweza, una uzoefu na una bahati na kupata Washauri wazuri ambao Ndoto zao ni Kuona Watanzania wanafurahi Kiuchumi, Kiustawi na Kimaendeleo pia.

Dozi hii 'Mujarab' iwaingieni vizuri mno.
Shabaash
 
CCM ni chama kinachohitaji watu. Na uongozi wa watu/mtu ndio unafanya chama kipate wafuasi.

Huu mtazamo wako ni wa kizamani sana tafadhari usiwaponze wana ccm wenzio.

Mtu akiharibu chama kinaharibika.
Ulisoma na kuelewa nilichoandika?!

Btw, umetumia vigezo gani kusema "CCM wenzio" as if nimekuambia mimi ni mwana-CCM?
 
Ni Watanzania Sisi ( GENTAMYCINE ) nikiwemo wakati wa Uongozi wa Hayati Rais Dkt. Magufuli tulikuwa tunalalamika Mzunguko wa Hela ni mgumu na hata Kumlaumu Hayati kwa kutokupenda Kwake ' Kujichanganya ' na Mataifa Jirani na hata Makubwa ili Maendeleo ya haraka yapatikane na Ustawi wetu uwepo.

Haya hivi sasa tuna Rais Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan ambaye taratibu anaanza ' Kujjtanua ' kwa Kushirikiana na Mataifa Jirani na Makubwa hadi Kuwavutia Wawekezaji wakubwa ili aweze kurudisha Mzunguko wa Pesa nchini, Miradi mingi itakayochochea upatikanaji wa Fursa za Ajira ili akina GENTAMYCINE tuondokane na Umasikini ( Unyonge ) wa Kipesa tulionao tumeanza tena ' Kumzodoa ' na ' Kumzoza ' Mama wa Watu kuwa sijui anauza nchi na anaipeleka nchi kubaya.

Hivi Watanzania tunataka nini? Tunajitambua kweli? Hizi Nongwa na huu Unafiki wetu ' uliotutukuka ' zina Faida gani? Ni kwanini tunakuwa ni Watu tu wenye Majungu, Visununu, tusiokuwa na Uvumilivu wala Shukrani? Tumelorogwa na nani ili tuwaombe Viongozi wa Kidini watuombee au tufunge tumlilie Mwenyezi Mungu?

Mama wa Watu masikini ( Rais Samia Suluhu Hassan ) hana hata Siku 100 tu Ofisini tayari kuna Mifalme Njozi ' Mipopoma ' inajifanya imeshajua kule ambako anatupeleka wakidai kuwa anatupoteza na kwamba hawezi Kuongoza kama ilivyokuwa kwa Mtangulizi wake Hayati Rais Dkt. Magufuli.

Leo hii baadhi yetu tunamsema kwanini Mama ( Rais Samia Suluhu ) ana ukaribu mno na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na kwamba ndiyo anamuongoza Kiuongozi kitu ambacho hata hivyo Mimi GENTAMYCINE sioni tatizo lolote lile juu ya hilo.

Mbona wakati Hayati Rais Dkt. Magufuli alivyokuwa Madarakani alikuwa na ukaribu sana na Rais Mstaafu Hayati Benjamin Mkapa na ndiyo alikuwa akimuongoza na tulikuwa hatusemi?

Kama Great Thinkers, Academicians na Think Tanks wa Tanzania tunaacha Kumsaidia Mama ( Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ) kwa Ushauri na Mawazo ' very Constructive ' ya kuitoa Tanzania yetu hapa ilipo na ikimbizane na Mataifa mengine Kutwa tu tunakalia Majungu, Umbea, Wivu na Unafiki.

Kwako Mheshimiwa Rais wangu ( wetu ) Mama Samia Suluhu Hassan tafadhali nakuomba Ongoza nchi kwa ' Style ' yako na kamwe usitusikilize Sisi ' Wanafiki Wakomavu ' wa Kitanzania tusio na hata chembe ya Uvumilivu na Shukrani ndani ya Mioyo yetu na Roho zetu pia.

Kitabu cha Rais Hayati Dkt. Magufuli kimeshafungwa na sasa ni wakati wa Kuandika Kitabu chako na Wewe ukiingia tu katika Mtego wa Kusikiliza ' Majungu ' yetu Sisi ' Waswahili ' utapoteza Dira yako na ndiyo utakosea na Kuongoza nchi vibaya kisha utakuwa umeshawapa ' Waswahili Wanafiki ' cha Kusema na ' Nongwa ' zao ( zetu ) kuzidi.

Chapa Kazi Mama yetu ( Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ) TUNAKUPENDA na tutakuombea MAFANIKIO kwa Mwenyezi Mungu ( Allah ) na Binafsi kama GENTAMYCINE wala sina Shaka nawe kwani najua unaweza, una uzoefu na una bahati na kupata Washauri wazuri ambao Ndoto zao ni Kuona Watanzania wanafurahi Kiuchumi, Kiustawi na Kimaendeleo pia.

Dozi hii 'Mujarab' iwaingieni vizuri mno.
Aaamin 🙏

Ndugu hao hawajitambui...

Hakika UMENENA.....

"Dozi hiyo mujarabu iwaingie vizuri mno"!!!
 
Hayati Hana zuri lolote zaidi ya ushetani wake na udikteta ,,wanaomuunga mkono Hayati wengi ni mazuzu wasiojitambua na wasukuma wenzie
Mkuu wangu mbona maneno makali sana Kaka ?!!!!

Mbona kila Rais anaungwa mkono na kupingwa na hata watu wa atokako Kaka ?!!!

Kila zama ina "approach yake" na Zama ya awamu ya 5 yako mazuri mno na CHANGAMOTO pia....Zama hii ya 6 itakuwa na mazuri yake na pia CHANGAMOTO pia mkuu!!!
 
Ni Watanzania Sisi ( GENTAMYCINE ) nikiwemo wakati wa Uongozi wa Hayati Rais Dkt. Magufuli tulikuwa tunalalamika Mzunguko wa Hela ni mgumu na hata Kumlaumu Hayati kwa kutokupenda Kwake ' Kujichanganya ' na Mataifa Jirani na hata Makubwa ili Maendeleo ya haraka yapatikane na Ustawi wetu uwepo.

Haya hivi sasa tuna Rais Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan ambaye taratibu anaanza ' Kujjtanua ' kwa Kushirikiana na Mataifa Jirani na Makubwa hadi Kuwavutia Wawekezaji wakubwa ili aweze kurudisha Mzunguko wa Pesa nchini, Miradi mingi itakayochochea upatikanaji wa Fursa za Ajira ili akina GENTAMYCINE tuondokane na Umasikini ( Unyonge ) wa Kipesa tulionao tumeanza tena ' Kumzodoa ' na ' Kumzoza ' Mama wa Watu kuwa sijui anauza nchi na anaipeleka nchi kubaya.

Hivi Watanzania tunataka nini? Tunajitambua kweli? Hizi Nongwa na huu Unafiki wetu ' uliotutukuka ' zina Faida gani? Ni kwanini tunakuwa ni Watu tu wenye Majungu, Visununu, tusiokuwa na Uvumilivu wala Shukrani? Tumelorogwa na nani ili tuwaombe Viongozi wa Kidini watuombee au tufunge tumlilie Mwenyezi Mungu?

Mama wa Watu masikini ( Rais Samia Suluhu Hassan ) hana hata Siku 100 tu Ofisini tayari kuna Mifalme Njozi ' Mipopoma ' inajifanya imeshajua kule ambako anatupeleka wakidai kuwa anatupoteza na kwamba hawezi Kuongoza kama ilivyokuwa kwa Mtangulizi wake Hayati Rais Dkt. Magufuli.

Leo hii baadhi yetu tunamsema kwanini Mama ( Rais Samia Suluhu ) ana ukaribu mno na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na kwamba ndiyo anamuongoza Kiuongozi kitu ambacho hata hivyo Mimi GENTAMYCINE sioni tatizo lolote lile juu ya hilo.

Mbona wakati Hayati Rais Dkt. Magufuli alivyokuwa Madarakani alikuwa na ukaribu sana na Rais Mstaafu Hayati Benjamin Mkapa na ndiyo alikuwa akimuongoza na tulikuwa hatusemi?

Kama Great Thinkers, Academicians na Think Tanks wa Tanzania tunaacha Kumsaidia Mama ( Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ) kwa Ushauri na Mawazo ' very Constructive ' ya kuitoa Tanzania yetu hapa ilipo na ikimbizane na Mataifa mengine Kutwa tu tunakalia Majungu, Umbea, Wivu na Unafiki.

Kwako Mheshimiwa Rais wangu ( wetu ) Mama Samia Suluhu Hassan tafadhali nakuomba Ongoza nchi kwa ' Style ' yako na kamwe usitusikilize Sisi ' Wanafiki Wakomavu ' wa Kitanzania tusio na hata chembe ya Uvumilivu na Shukrani ndani ya Mioyo yetu na Roho zetu pia.

Kitabu cha Rais Hayati Dkt. Magufuli kimeshafungwa na sasa ni wakati wa Kuandika Kitabu chako na Wewe ukiingia tu katika Mtego wa Kusikiliza ' Majungu ' yetu Sisi ' Waswahili ' utapoteza Dira yako na ndiyo utakosea na Kuongoza nchi vibaya kisha utakuwa umeshawapa ' Waswahili Wanafiki ' cha Kusema na ' Nongwa ' zao ( zetu ) kuzidi.

Chapa Kazi Mama yetu ( Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ) TUNAKUPENDA na tutakuombea MAFANIKIO kwa Mwenyezi Mungu ( Allah ) na Binafsi kama GENTAMYCINE wala sina Shaka nawe kwani najua unaweza, una uzoefu na una bahati na kupata Washauri wazuri ambao Ndoto zao ni Kuona Watanzania wanafurahi Kiuchumi, Kiustawi na Kimaendeleo pia.

Dozi hii 'Mujarab' iwaingieni vizuri mno.
Mzee hao wanaopinga ni kundi la bwana yule
 
Mojawapo ya mbinu ambazo binadamu wajinga huwa wanazitumia katika kujaribu kujenga mahusiano na baadhi ya watu wanaowa-admire ila wanapenda na wanahitaji kuwa na mahusiano nao, ni kujifanya kama kuwadharu kwanza watu hao wanaowahitaji. Akishajifanya kuwa amemdharau anayemhitaji, na halafu baada ya hapo aliyefanyiwa ghiliba hiyo naye akatokea kukubalina na hali hiyo ya kudharuliwa, tayari mtu huyu huanza kujiona yuko chini na kumuona mwenye dharau kuwa yuko juu yake. Baada ya hapo sasa aliyefanya dharau ikitokea akamfuata aliyemdharau, mwenye kudharauliwa huwa anatokea ku-yield katika namna ambayo mwenye dharau hakuwa amewahi kutarajia.

Anyway nii mbinu ya kijinga ambayo huwa inatumiwa na wajinga wanapotaka kujenga mahusianao na watu wanaowa-admire, na ambao katika hali ya kawaida isingekuwa rahisi kwao kueaza kujenga nao mahusiano hayo waliyoyahitaji; kwa sababu walidhani kuwa watu hao, hawaingiliki kwa kutumia njia zile za kawaida za siku zote

Mara nyingi, approach hii huwa inatumiwa na watu ambao wana-inferiority complex ya hali ya juu sana. Kawaida, ukikuta mtu yeyote anaonekana kuwa ana dharau, kama ni kweli na si tuhuma tu, mtu wa aina ile huwa anakuwa ana inferiority complex kwa kiwango cha juu sana. Na ukweli usiopingika katika maisha ni kuwa, mtu hawezi kuwaficha watu wote muda wote kile ambacho huwa kimeujaza moyo wake siku zote, simply tu hajawahi kukisema hadharani masikioni mwa watu hao
 
Hata kwenye issue ya Corona,kuna watu humu walikua wanalalamika kua "Sisi sio kisiwa,lazima tuchukue tahadhari,corona ipo,tuagize chanjo tutatengwa...."

Sasa hivi kamati iliyokua inahughulikia issue ya Covid-19 imekuja na mapendekezo waliyokua wanayalilia,wale wale waliokua wakitaka protocal za WHO zifuatwe za kudeal na corona,sasa hivi wamegeuka tena!

Wanasema sijui repoti ni C&P,mara chanjo sio nzuri na maneno kibao yakiashiria kua wanapinga!

Kuna watu hawajui wanataka nini hasa! na hili jambo ni moja ya sababu ya mtu kutokua na maendeleo yeyote,huwezi kuendelea ikiwa wewe mwenyewe hujui unataka nini hasa!
 
Hao washamba achana nao,ndio walioharibu nchi mpaka tukawa tunadharaulika,Rais Samia anachofanya sasa ndio kazi ya Mkuu wa nchi,Hao walaiozoea kubebwa waache wapige mayowe,sisi tunasonga mbele na kwataarifa yao.

Vyombo vya habati vimefunguliwa
Bunge limefunguliwa minyororo
Na Account zilizofungwa kibabe kazifungua.

Lazima watu wa mwendazake wapanic
 
Wanao mnanga ni Sukuma gang
Ccm kwa Ccm
Mwenzako katumia muda wake ili aje na analysis ya maana wewe unaibuka na matope.
Nani asiyejua CHADEMA mnatafuta pa kushika mmepotena,maana makelele yenu yalikuwa udikteta wa Mwendazake,sasa alikwenda na udikteta wake.
Sasa amekuja mama mpole kama hua mnahaha namna ya kumfitinisha na wapiga kura wake,maana hamna ajenda tena ya ufisadi nayo iliwashinda.
siyo lazima mfanye siasa hata kama imewashinda.
With due respect, tofautisha kati ya hao mnaowaita Sukuma Gang na CCM!!

Hilo kundi la kwanza sio CCM kwa maana ya wafuasi wa chama bali walikuwa Wafuasi wa Mtu... wafuasi wa Mwendazake!!

Kundi hilo wala hawajali kuona CCM ikiparaganyika kwa sababu hawana uchungu wowote na chama au ufuasi kwa chama!! Na amini usiamini, wangefurahi sana kuona CCM na Serikali yake ikivurugika na kusambaratika wakati huu ili waendelee kuaminisha watu na kuimba kwamba "enzi za Shujaa haya yasingetokea"!!

Mwana-CCM wa kweli, mwenye ufuasi wa CCM hawezi kumtakia mabaya Rais anayetokana na CCM!! Na hata ukiwasoma, ni rahisi sana kuona tofauti kati ya hao wa kundi la kwanza, na Wafuasi wa CCM!!!

To be honest, I hate the name Sukuma Gang, ingawaje nafahamu wapo miongoni mwao ambao walikuwa wanaunga mkono kila kitu kutoka kwa Mwendazake huku wakifanya hivyo kwa kusukumwa na ukabila!!!
Umenena vema kweli watofautishe hayo makundi,maana wana CCM wa kanda ya ziwa ambao hawana hila na mama kujumuishwa na kuitwa sukuma gang wanajisikia vibaya.
Hata kama wasukuma ni watu wabaya hawawezi kuwa wabaya wote.Na hapo ndo naona mama akifitinishwa na wasukuma na akiingia mkenge,akawachukia shughuli ipo mbele muda utatoa majibu.
 
Hata kwenye issue ya Corona,kuna watu humu walikua wanalalamika kua "Sisi sio kisiwa,lazima tuchukue tahadhari,corona ipo,tuagize chanjo tutatengwa...."

Sasa hivi kamati iliyokua inahughulikia issue ya Covid-19 imekuja na mapendekezo waliyokua wanayalilia,wale wale waliokua wakitaka protocal za WHO zifuatwe za kudeal na corona,sasa hivi wamegeuka tena!

Wanasema sijui repoti ni C&P,mara chanjo sio nzuri na maneno kibao yakiashiria kua wanapinga!

Kuna watu hawajui wanataka nini hasa! na hili jambo ni moja ya sababu ya mtu kutokua na maendeleo yeyote,huwezi kuendelea ikiwa wewe mwenyewe hujui unataka nini hasa!
Laabda niongeze kitu kimoja maneno ya uwongo yakizungumzwa sn ubadilika kuwa
Ukweli kwahiyo usiwalaumu watu ambao hawaeleweki wamekuwa confused.com kitu kitakacho wasaidia ni kutochoka kuwapa elimu mpaka watakapo kuwa na akili sawa sawa. Predecessor wa Mama ametubadilisha akili kiasi yakwamba hata kama ulikuwa na PhD ianakuwa kazi bure tu maana uanakuwa hutumie akili yako 100%.
 
Hata kwenye issue ya Corona,kuna watu humu walikua wanalalamika kua "Sisi sio kisiwa,lazima tuchukue tahadhari,corona ipo,tuagize chanjo tutatengwa...."

Sasa hivi kamati iliyokua inahughulikia issue ya Covid-19 imekuja na mapendekezo waliyokua wanayalilia,wale wale waliokua wakitaka protocal za WHO zifuatwe za kudeal na corona,sasa hivi wamegeuka tena!

Wanasema sijui repoti ni C&P,mara chanjo sio nzuri na maneno kibao yakiashiria kua wanapinga!

Kuna watu hawajui wanataka nini hasa! na hili jambo ni moja ya sababu ya mtu kutokua na maendeleo yeyote,huwezi kuendelea ikiwa wewe mwenyewe hujui unataka nini hasa!
Umenena 👍👍👊

Daaah 🤣
 
Ni Watanzania Sisi ( GENTAMYCINE ) nikiwemo wakati wa Uongozi wa Hayati Rais Dkt. Magufuli tulikuwa tunalalamika Mzunguko wa Hela ni mgumu na hata Kumlaumu Hayati kwa kutokupenda Kwake ' Kujichanganya ' na Mataifa Jirani na hata Makubwa ili Maendeleo ya haraka yapatikane na Ustawi wetu uwepo.

Haya hivi sasa tuna Rais Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan ambaye taratibu anaanza ' Kujjtanua ' kwa Kushirikiana na Mataifa Jirani na Makubwa hadi Kuwavutia Wawekezaji wakubwa ili aweze kurudisha Mzunguko wa Pesa nchini, Miradi mingi itakayochochea upatikanaji wa Fursa za Ajira ili akina GENTAMYCINE tuondokane na Umasikini ( Unyonge ) wa Kipesa tulionao tumeanza tena ' Kumzodoa ' na ' Kumzoza ' Mama wa Watu kuwa sijui anauza nchi na anaipeleka nchi kubaya.

Hivi Watanzania tunataka nini? Tunajitambua kweli? Hizi Nongwa na huu Unafiki wetu ' uliotutukuka ' zina Faida gani? Ni kwanini tunakuwa ni Watu tu wenye Majungu, Visununu, tusiokuwa na Uvumilivu wala Shukrani? Tumelorogwa na nani ili tuwaombe Viongozi wa Kidini watuombee au tufunge tumlilie Mwenyezi Mungu?

Mama wa Watu masikini ( Rais Samia Suluhu Hassan ) hana hata Siku 100 tu Ofisini tayari kuna Mifalme Njozi ' Mipopoma ' inajifanya imeshajua kule ambako anatupeleka wakidai kuwa anatupoteza na kwamba hawezi Kuongoza kama ilivyokuwa kwa Mtangulizi wake Hayati Rais Dkt. Magufuli.

Leo hii baadhi yetu tunamsema kwanini Mama ( Rais Samia Suluhu ) ana ukaribu mno na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na kwamba ndiyo anamuongoza Kiuongozi kitu ambacho hata hivyo Mimi GENTAMYCINE sioni tatizo lolote lile juu ya hilo.

Mbona wakati Hayati Rais Dkt. Magufuli alivyokuwa Madarakani alikuwa na ukaribu sana na Rais Mstaafu Hayati Benjamin Mkapa na ndiyo alikuwa akimuongoza na tulikuwa hatusemi?

Kama Great Thinkers, Academicians na Think Tanks wa Tanzania tunaacha Kumsaidia Mama ( Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ) kwa Ushauri na Mawazo ' very Constructive ' ya kuitoa Tanzania yetu hapa ilipo na ikimbizane na Mataifa mengine Kutwa tu tunakalia Majungu, Umbea, Wivu na Unafiki.

Kwako Mheshimiwa Rais wangu ( wetu ) Mama Samia Suluhu Hassan tafadhali nakuomba Ongoza nchi kwa ' Style ' yako na kamwe usitusikilize Sisi ' Wanafiki Wakomavu ' wa Kitanzania tusio na hata chembe ya Uvumilivu na Shukrani ndani ya Mioyo yetu na Roho zetu pia.

Kitabu cha Rais Hayati Dkt. Magufuli kimeshafungwa na sasa ni wakati wa Kuandika Kitabu chako na Wewe ukiingia tu katika Mtego wa Kusikiliza ' Majungu ' yetu Sisi ' Waswahili ' utapoteza Dira yako na ndiyo utakosea na Kuongoza nchi vibaya kisha utakuwa umeshawapa ' Waswahili Wanafiki ' cha Kusema na ' Nongwa ' zao ( zetu ) kuzidi.

Chapa Kazi Mama yetu ( Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ) TUNAKUPENDA na tutakuombea MAFANIKIO kwa Mwenyezi Mungu ( Allah ) na Binafsi kama GENTAMYCINE wala sina Shaka nawe kwani najua unaweza, una uzoefu na una bahati na kupata Washauri wazuri ambao Ndoto zao ni Kuona Watanzania wanafurahi Kiuchumi, Kiustawi na Kimaendeleo pia.

Dozi hii 'Mujarab' iwaingieni vizuri mno.
hao wanaomzodoa mama ni walioathiriwa na siasa za hovyo za Marehemu. Hawana lolote ni mapuuza tu
 
Back
Top Bottom