Kuna muda huwa siwaelewi Watanzania na huenda ndiyo maana baadhi ya Mataifa jirani na makubwa yanatudharau bila Sisi kujijua

So if you want to be better — like I know all of us do — one of the best ways is to do that is to make sure you're surrounding yourself with exceptional people.
 
Nyie mteteeni aliyetangulia, sisi tupo pamoja na alie hai mwenye utu
 

_'
hii 'Mujarab' iwaingieni vizuri mno.
Ukiona hivyo ina maana tuko sawa kabisa. Unafiki ni pale unapoona wasomi na wasiosoma, wachungaji na wasiokuwa na dini, matajiri wakubwa na maskini, wapinzani na wanachama wa chama tawala eti wote wapo kwenye chama kimoja na wanakubaliana kwa asilimia mia moja kwa kila jambo.
 
Basi sukuma gang ina nguvu na ni kubwa mno.Kila anayemkosoa mama ni Sukuma gang, Kwa haraka haraka huyu mama ni malaika na hakupaswa kukosolewa.
Limewaganda ndio mkome kudandia treni kwa mbele
Mkwere anawasanifu kwa mbali na fulana maandishi yenye matumaini
 
Hata kigogo haamin kama kashaondoka maana siasa zoote za mnaowaita sukuma gang zinamhusu yeye. Kama huamin kamuulize kigogo anamuwaza nan saiz kama syo kidume aliyewaacha wengi na mimba wanamuwaza alete matumiz🤪
 
Tawala zote huwa zina wanufaika na wakosaji, sasa usitazamie wanufaika wa Mwendazake wakafurahia mageuzi ya mama Samii, hicho kitu hawatapenda na ndiyo wapinga mipango yake. Siku zote huwezi kupendezesha wanadamu wote mama aendeshe nchi kwa misingi ya Upendo,haki, amani,kudumisha demokrasia na kufuata katiba, pia kumbuka hata shetani ana wafuasi wake.
 
I concur with you. We almost are now seeing the light (within less than 100 days of our beloved President). Keep it up Her Excellency Samia Suluhu Hassan and Stay Blessed
 
Hata kigogo haamin kama kashaondoka maana siasa zoote za mnaowaita sukuma gang zinamhusu yeye. Kama huamin kamuulize kigogo anamuwaza nan saiz kama syo kidume aliyewaacha wengi na mimba wanamuwaza alete matumiz🤪
Inawezekana kigogo alikuwa Jiwe mwenyewe
 
watanzania wanapenda DEMOKRASIA bt hawajui kama mawazo hasi pia ni sehemu ya demokrasia, tembeleeni pages za kisiasa za marekani, uingereza, ujerumani, ufaransa na nk... mjifunze namna siasa za kidemokrasia zinavyoendeshwa.

kule watu wanatukana, wanakejeli, wanabeza bt huwezi kuta reaction za kijinga kama tufanyavyo sisi.
 
Huna lolote wewe zaidi ya kuzunguka mbuyu ila mwisho wa yoote umetoka clear kuwa Msoga gang!

Huyu mama pamoja na kuwa Rais bado anabaki kuwa Binadamu wa kawaida kama mimi na wewe tu.
Usitake kulazimisha mtu mmoja afikirie kwa niaba ya watu milioni zaidi ya sitini nchini,bila ya kupewa changamoto.

Huo ushauri mnaompa ni haki yenu, lakini bahati mbaya ni kwamba watanzania walikwisha AMSHWA na mwendazake wakaujua u RAISI ni nini?

Hii panga pangua yenu ya kipigaji inaonekana kwa kila mtanzania.
Sherehe zenu zitakuwa za muda mfupi sana!
Dalili ziko wazi.
Msituone wote mabwege
 
Pole tu kwa 'Msiba' wa 17 March, 2021.
 
Basi sukuma gang ina nguvu na ni kubwa mno.Kila anayemkosoa mama ni Sukuma gang, Kwa haraka haraka huyu mama ni malaika na hakupaswa kukosolewa.
Malaika si yupo kule kafukiwa Chato na sasa anawaongoza 'malaika huko'. Huyu ni Binadamu, anakosea na anaweza jirekebisha. Aliyejiita 'malaika' alishafukiwa chini huko kijijini kwake.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
To be honest, I hate the name Sukuma Gang, ingawaje nafahamu wapo miongoni mwao ambao walikuwa wanaunga mkono kila kitu kutoka kwa Mwendazake huku wakifanya hivyo kwa kusukumwa na ukabila!

Mwendazake was creating a CULT in Tanzania . Alikuwa anatumia ccm kutaka kujenga umaarufu tofauti na misingi ya ccm na ndio maana kama mtakumbuka wakati wa uchaguzi wa 2015 alikuwa ansema chagua MAGUFULI na sio ccm kama kauli mbiu yake!! Aliamini kabisa kuwa alishinda ule Uchaguzi kwa nguvu zake kama Magufuli na sio kama ccm. Kutokana na imani hiyo ndio maana alianza kusuka wafuasi wake na kuwaleta ndani ya ccm ili kukisafisha chama ambacho alisema kilikuwa kimejaa mafisadi!! Ndio hapo alipowaleta wakila Bashiru etc. na kuwaondoa kwa fedheha uongozi wa zamani wa wakina Kinana na Makamba !!

Mvutano iliopo sasa ni wale wa zamani enzi ya Kinana na Makamba ambao ndio team moja na Kikwete [ ccm asilia] wakisigana na wale walioletwa na Magufuli wakiongozwa na Bashiru na wafuasi wao wengi wao wakiwa wa kutoka kanda ya ziwa [ ccm masalia 'aka' SUKUMA Gang] wote wakijipanga kutaka kuwa na influence ya kuongoza nchi!

Ingawa Rais inasemekana anashauriwa kwa karibu sana na Kikwete but so far she has managed to navigate this precarious situation very carefully to not seen to antagonize either side!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…