Kuna muda huwa siwaelewi Watanzania na huenda ndiyo maana baadhi ya Mataifa jirani na makubwa yanatudharau bila Sisi kujijua

Unajua huu upuuzi wenu mtamfanya mama yenu kura za kanda ya ziwa hazikose sijui wachaga mtaweza kumuingiza madarakani kwa kura za kaskazini ambazo zote zimeshindwa kumpa hata ubunge Mbowe.

..CCM haitegemei sanduku la kura kushinda uchaguzi.

..awamu ya 3 kulikuwa na chama cha UDP na kiliitwa chama cha Wasukuma lakini bado CCM ilikuwa inashinda.

..ondoa kabisa mawazo kwamba kuna kanda fulani inaweza kuizuia CCM kushinda uchaguzi wakati tume ya uchaguzi na wasimamizi wa uchaguzi wote ni makada wa CCM.
 
Umesahau kuwa katika siasa za hapa JF kuna usimba na uyanga. Okwi akiwa simba, yanga wanamuona ni ghalasa. Ila akienda Yanga simba wanasema β€˜huyo kaisha’. Akirudi Simba wanasema wamepata kifaa.
Katika siasa kuna wazalendo na wapinzani wao hasa hapa JF. Tuvumiliane
 
Hayati Hana zuri lolote zaidi ya ushetani wake na udikteta ,,wanaomuunga mkono Hayati wengi ni mazuzu wasiojitambua na wasukuma wenzie
According to u. Juzi nilikutana na kichaa akiwa anamwambia mpita njia(USIPITE HAPO WE KICHAA!) πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndo hapoo nikaelewa na saiz nimekuelewa vzr tuu maana nilishapata funzo zuri tuuπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Absolutely Rubbish..!!!
Jibu hoja siyo kutoa povuuπŸ˜‚πŸ˜‚. Nendeni zambia mnakosema biashara zinaenda, totaly colonized na wachinaπŸ˜‚πŸ˜‚. Ila sikushangai maana nilisikia kundi flan hv wakisema kuliko kuzaliwa tanzania bora kuwa mbwa ulaya🧐🧐
 
According to u. Juzi nilikutana na kichaa akiwa anamwambia mpita njia(USIPITE HAPO WE KICHAA!) πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndo hapoo nikaelewa na saiz nimekuelewa vzr tuu maana nilishapata funzo zuri tuuπŸ˜‚πŸ˜‚
mazezeta Kama wewe ndio bado mnaota kuwa Kuna siku mungu wenu wa chatto atarudi
 
tayari kuna Mifalme Njozi ' Mipopoma ' inajifanya imeshajua kule ambako anatupeleka wakidai kuwa anatupoteza na kwamba hawezi Kuongoza kama ilivyokuwa kwa Mtangulizi wake Hayati Rais Dkt. Magufuli.
hii mipopona ni ile iliyokuwa inakula njama kutaka kutenda kosa la kumwongezea mwendazake muda wa kutawala kwa kutaka kubadilisha katiba ya nchi.

Hivi sasa ajenda ya kuongeza mihula ya uongozi kuwa 7 haipo tena, kwa sasa imejikita kumkwambisha maza!! hii mipopoma kama inavyojiita ni sumu kali sana ndani na nje ya CCM.
 
mazezeta Kama wewe ndio bado mnaota kuwa Kuna siku mungu wenu wa chatto atarudi
Mimba n miez tisa. Hadi iishe utapata taabu sana na kisiran chakoπŸ˜‚πŸ˜‚. Jiwe amewaachia mimba wengi saana had mnalala mnamuota yeye tuu
 
Nani ka kwambia chadema wanapata mhaho na mama ni mijiccm ikiwemo na wewe mkuu wengi wanaolalamikia mama kua karibu na mkwere ni nyienyie hao sio hata chadema
 
Mkuu, "PAKA" anafanya lini ziara TZ???

Bifu la "PAKA" na Faustin Kayumba Nyamwasa linaendeleaje??

Hongera "MTUTSI" kwa andiko zuri, UNAIPENDA SANA TZ.πŸ™πŸ™πŸ™πŸ€£πŸ€£
 
Rais Samia hawezi kukwepa ukaribu na Mzee Kikwete, ndiye aliyemtoa serikali ya Mapinduzi na kumleta huku Bara. Ni sawa na Arsene Wenger alivyomtoa George Weah kutoka Afrika na kumpeleka Monaco, hakuna siku Weah atakuja kumvunjia heshima mzee Wenger.

Watanzania tumejawa na nongwa, kutokujiamini na zile roho nyepesi za wivu usio na sababu. Huyu Mama anayo haki kabisa ya kutengeneza taswira chanya ya Tanzania kimataifa. Huwezi kupata uwekezaji wa maana kama hushiriki mikutano mikubwa na taasisi kubwa za kimataifa.

Kwa kipindi hiki cha corona ni lazima rais awe na wepesi wa kushiriki zile WEBINAR na video conference na wakubwa wa Ulaya na Marekani. Mama anaweza akafanikisha mengi kuliko hata mtangulizi wake, kwani anaijua faida ya kujishusha wakati anafanya mijadala ya kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…