Judister Gabriel Mlawa
Member
- Sep 16, 2021
- 5
- 11
Moja kati ya falsafa kwenye medani za vita ni kukimbia ukiona unaelekea kushindwa kuliko kuendelea na kuishia kusambaratishwa.
If you run away, you have lost the battle, not the war. Kwa sababu, unaweza kurudi nyuma tena na kupanga mashambulizi na kurudi tena kwenye uwanja wa vita.
Kwa hiki ambacho nimekiona siku mbili kwenye kampeni za CCM Dar es Salaam kwenye viwanja vya Kawe, Morogoro pale Dakawa, Dumila, Kilosa hadi Kibaigwa, lile nyomi la CCM, CHADEMA ina haki kabisa ya kula kona.
Hata kama CHADEMA ingeamua kushiriki uchaguzi, uchaguzi huu tayari ingekuwa dhahiri umeshakwisha siku ileile ya kwanza palepale kwenye kampeni za Kawe, CCM ina watu, una umati wa ajabu kuwahi kutokea kwenye historia za vyama vya siasa barani Afrika.