Kuna muda lafudhi zinakuwa zinakata vibe

Kuna muda lafudhi zinakuwa zinakata vibe

Nakwambia hiviiii haiwezekani hata kwa bahati mbaya. Nitamgundua ongea yake tangu siku ya kwanza na hataniona tena wala kunisikia.
Kwani sisi tumemkosea nini Mungu? Si utanifundisha kutumia kiswahili kizuri? Mbona si mvumilivu wewe lakini?
IMG_20230220_225518.jpg
 
Tatizo lenu hamuelimiki. Unasoma hadi degree ya pili lakini mambo ni yale yale[emoji28][emoji28]
Kuna pisi nilikuwa na date nayo ina Masters kabisa tena ya mambo ya Language ina tatizo kubwa sana la L na R.. nimeipiga muda mrefu sana takribani miaka 12 mpaka juzi kati ndio tumepotezana. Alikuwa ananikwaza kumsikiliza but nilimpenda kwakuwa hakuwa na tabia ya kuomba hela maana alikuwa na kazi yake nzuri tu. Tulipanga ratiba kabisa ya kunyanduana kwa mwezi mara 2.
 
Mimi lafudhi yoyote yenye kukandamiza maneno huwa siipendi ie kijita, kihaya, kisukuma, kiha, na nyingine zenye kufanana na hizo
 
Jana nimekutana na pisi moja niomba namba.
Akaanza kutaja.... Sifuli sita ...... ishilini na tatu....
Ahhh alinikera nikachukua namba but sikuhangaika nae kabisa
 
Lafudhi haina shida. Ni kitu ambacho hauwezi kukikataa. Yaani uzaliwe Ngudu Kwimba alafu utake kuwa na lafudhi ya Lisbon,Portugal?
 
Du hii ilishawahi kunitokea advance bukoba kwenye ile shule maarufu pisi zilikuwa zinanikubali kimuonekano ila kiswahili kilikuwa cha kisukuma kilinikosesha credit kwa watoto wazuri ,kutokana na unfair comparison kati ya apearance yangu na kiswahili changu ikabidi nichange character nikaacha kuongea sana, kuna siku nilichaguliwa kipindi cha dini nikatoe ushuhuda wangu nikafikiri kuhusu acent yangu ikabidi niseme sina ushuhuda ili nisiongee sana nikajishusha credit
We jiamini kwa lafudhi yako. Mbona watu wa Korea Kusini huko wanazipenda lafudhi zao, watu wa Busan wana lafudhi tofauti na watu wa Seoul
 
Back
Top Bottom