Kuna muda lafudhi zinakuwa zinakata vibe

Kuna muda lafudhi zinakuwa zinakata vibe

Naipenda lafudhi ya kisukuma😂😂😂
Siipendi ya kichaga na kihaya.
 
Kwa Afrika nigeria wanaongea vibaya mno,, yani nawaonaga kama wachafu sana hao watu
Come = komu oo

Mom = Momaa

I need to go = I nuu goo

He play football = He pay fuuboo

[emoji13] [emoji1184]
 
Unakutana na mwanamke au mwanaume amevaa kapendeza ananukia marashi kwa mtazamo unakubali kuwa ni full package.

Shida inaanza pale anapoongea unakuta na ile lafudhi yenyewe ya kikabila mpaka unaweza pata wenge kuwa upo kijijini.

Kuongea lafudhi za kikabila doesn't mean kuwa wewe ni mshamba ila kuna kavibe unakuwa umekaondoa just imagine pisi iwe kali afu iongee ile lafudhi ya ebitoke.
Itakuwa unawasema wajomba gete
 
Back
Top Bottom