Kuna muda lafudhi zinakuwa zinakata vibe

Kuna muda lafudhi zinakuwa zinakata vibe

Nilikutana na pisikali kweli lafudhi ni ya kisukuma asee niliona huruma,alafu inasema eti mi wa morogoro
Kwani kuna mkoa hauna wasukuma bro? Kwa taarifa yako kuna Wasukuma ambao hawajui Sinyanga, Geita, Mwanza wala Simiyu. Unakuta wamezaliwa Ilemba Rukwa, Kisaki Morogoro, Ubaruku Mbeya, Kitunda Tabora, Newala Mtwara ama Kazuramimba Kigoma. Ni kawaida sana
 
Kwani kuna mkoa hauna wasukuma bro? Kwa taarifa yako kuna Wasukuma ambao hawajui Sinyanga, Geita, Mwanza wala Simiyu. Unakuta wamezaliwa Ilemba Rukwa, Kisaki Morogoro, Ubaruku Mbeya, Kitunda Tabora, Newala Mtwara ama Kazuramimba Kigoma. Ni kawaida sana
Ndio mkuu ila badae nilikuja kujua ni kazaliwa hapahapa ni msukuma wa mwanza ila alitaka kujikosha lafudhi ikamuumbua
 
Ni kweli hasa lafudhi ya kimbulu inanikera sana , Bora ya kichagga ila ya kimbulu uwiii kazi kweli
nDaah..apo ndo desi na garimaa wameshituka..
wakipiga yowe sasa utasikia eeyoo daah
[emoji16][emoji16][emoji16] Nakumbuka Katesh nilivyokua nakichukulia point 3 muhimu Kwa madesii wa Katesh na babat
 
Yule muongo amezaliwa mwanza,kakulia mwanza,kasomea mwanza ila ni ile kukwepa kabila alafu lafudhi ikakuumbua,yule dada ni mzuri sana ila lugha sasa

Na wewe sasa ukiwa unaandika walau uandike kwa usahihi maneno yako,vinginevyo hupishani na unaye msema 'alafu' 'ata'. Tangu comment kule juu huwezi kuandika hayo maneno kwa usahihi [emoji4]
 
Wasukuma wana lafudhi mbaya mno,lafudhi ya moshi, Arusha, manyara mpk Singida iko mwake inanifurahisha,
Manyara hapana kwakweli upande wangu.Wote tulioanza kuongea lugha zetu za asili ndiyo tukaja kufahamu kiswahili,tuna mtihani mkubwa upande wa lafudhi.
 
Tatizo la wasukuma wanaongea kwa sauti sana, unaweza dhani kuna ugomvi. Kule ni kufoka sio kuongea
Hata wachagga sijui wa wapi wale,huwa wanaongea kwa speed na wakiwa serious,kwa usiye elewa wanachoongea unajua hapa zitapigwa muda si mrefu,gafla unawaona wanaangua kicheko.Kumbe wanapiga story tu.
 
Back
Top Bottom