Kwani sisi tumemkosea nini Mungu? Si utanifundisha kutumia kiswahili kizuri? Mbona si mvumilivu wewe lakini?Nakwambia hiviiii haiwezekani hata kwa bahati mbaya. Nitamgundua ongea yake tangu siku ya kwanza na hataniona tena wala kunisikia.
Tatizo lenu hamuelimiki. Unasoma hadi degree ya pili lakini mambo ni yale yale😅😅Kwani sisi tumemkosea nini Mungu? Si utanifundisha kutumia kiswahili kizuri? Mbona si mvumilivu wewe lakini?
View attachment 2533745
Kuna pisi nilikuwa na date nayo ina Masters kabisa tena ya mambo ya Language ina tatizo kubwa sana la L na R.. nimeipiga muda mrefu sana takribani miaka 12 mpaka juzi kati ndio tumepotezana. Alikuwa ananikwaza kumsikiliza but nilimpenda kwakuwa hakuwa na tabia ya kuomba hela maana alikuwa na kazi yake nzuri tu. Tulipanga ratiba kabisa ya kunyanduana kwa mwezi mara 2.Tatizo lenu hamuelimiki. Unasoma hadi degree ya pili lakini mambo ni yale yale[emoji28][emoji28]
We jiamini kwa lafudhi yako. Mbona watu wa Korea Kusini huko wanazipenda lafudhi zao, watu wa Busan wana lafudhi tofauti na watu wa SeoulDu hii ilishawahi kunitokea advance bukoba kwenye ile shule maarufu pisi zilikuwa zinanikubali kimuonekano ila kiswahili kilikuwa cha kisukuma kilinikosesha credit kwa watoto wazuri ,kutokana na unfair comparison kati ya apearance yangu na kiswahili changu ikabidi nichange character nikaacha kuongea sana, kuna siku nilichaguliwa kipindi cha dini nikatoe ushuhuda wangu nikafikiri kuhusu acent yangu ikabidi niseme sina ushuhuda ili nisiongee sana nikajishusha credit