Utakuwa kilaza wewe bila shaka! Fahamu kuna teuzi mbili; ndani ya vyama vya siasa na Tume ya uchaguzi.Kulingana na katiba, kanuni za bunge au tume ya uchaguzi Tanzania kuna muda maalumu wa vyama vya siasa kuteua wagombea wa urais, ubunge na udiwani katika uchaguzi mkuu??