Kulingana na katiba, kanuni za bunge au tume ya uchaguzi Tanzania kuna muda maalumu wa vyama vya siasa kuteua wagombea wa urais, ubunge na udiwani katika uchaguzi mkuu??
Kulingana na katiba, kanuni za bunge au tume ya uchaguzi Tanzania kuna muda maalumu wa vyama vya siasa kuteua wagombea wa urais, ubunge na udiwani katika uchaguzi mkuu??
Utakuwa kilaza wewe bila shaka! Fahamu kuna teuzi mbili; ndani ya vyama vya siasa na Tume ya uchaguzi.
Ndani ya vyama vya siasa inategemea katiba zao na katika Tume ya uchaguzi ni baada ya Bunge kuvunjwa. Kwa hiyo kibachojadiliwa hapa ni ndani ya katiba ya CCM ambako mgombea Urais amejiteua bila kufuata katiba ya chama!