Kuna muda maisha yanachanganya sana kama utani siku mbili unakosa hata Mia mfukoni

Tafuta hata ukonda kwenye malori japo utulize nafsi kwanza ukiwa unajitafuta
Atafute magari yaliyozubaa aanze kuosha atalipwa 2000/- kila gari akiosha magari matano tayari ana 10,000/-

Kuna mwamba mmoja anafanya hii mishe hadi jioni analaza Pesa nzuri tu, ni mwendo wa kuvizia magari yaliyopaki na kuanza kuyaosha
 
Sisi ndiyo waafrika bro
 
Tusichanganye vitu viwili hapa.
1.Kuzaa
2. Kutokua na pesa.

Huna pesa wewe wala usikuchanganye na kutozaa.Kama huna hela na bado huna watoto then wewe ndio looser zaid hapa maana tofaut yake ni nini sasa? Ilibid wewe kama umeweka pemdimg ishu ya kuzaa tuli expect uwekeze nguvu katika kutafuta maisha ufanikiwe.

Mind you, kama mtu hana pesa na ana watoto bas jua tu huyo sio kwamba hana pesa, ila ana pesa zisizotosha mahitaji.

So nyie wawil hamlingani
 
Ndo lengo..kijana haifai kuwa na hela ndo unakuwa na amani
 
Nchi hii ina matatizo mengi, na dini ni tatizo pia. Viongozi wa dini wamejawa unafiki tu.
 
Mbona wiki iliyopita tu na hii hapa sikuwa najua kupika uji na sipendi uji ila mbona nimekoroga uji Safi kusindikiza siku iishe aloo njaa isikie tu[emoji1787][emoji1787]
Tupambane tu mkuu! No way out. Wenye nacho wanaendelea kutupa mgongo tusio nacho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ