Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Mapenzi hayana ufundi. Na huo moyo wako wa anzi utakutana na nunda zinajua kuponda hata mawe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapenzi hayana ufundi. Na huo moyo wako wa anzi utakutana na nunda zinajua kuponda hata mawe.
OyeeeeeeNazi hoyeeeee.
Maini kazi wanayoShout out to all nazi and firigisi out there...oh yeah[emoji41][emoji41]
Hayana fundi ila pia inatakiwa kutokuwa lofa kiivyoMapenzi hayana ufundi. Na huo moyo wako wa anzi utakutana na nunda zinajua kuponda hata mawe.
Kuwa lofa kwenye mapenzi kawaida, unaweza ukajitia mgumu lakini ndani ukaumia mpaka ukapata maradhi.Hayana fundi ila pia inatakiwa kutokuwa lofa kiivyo
Wee waache tu Eve awaingize chaka, uzuri kaishawapa angalizo hapo chini, teh!Kuwa lofa kwenye mapenzi kawaida, unaweza ukajitia mgumu lakini ndani ukaumia mpaka ukapata maradhi.
Ego sio nzuri kwenye relationships.
Ooh kumbe heri kuvumilia maradhi ya kusumbuliwa?Kuwa lofa kwenye mapenzi kawaida, unaweza ukajitia mgumu lakini ndani ukaumia mpaka ukapata maradhi.
Ego sio nzuri kwenye relationships.
Sijaongelea swala la kutingisha kiberiti bali kufanya maamuzi pale panapohitaji maamuzi, rudia kusoma kama hautajaliHabari za kutingishiwa kibiriti kwangu ni jambo gumu ukitingisha nakilowesha maji kabisa halafu nakaa kimya utahangaika mwenyewe
Hamna mtu anaeingizwa chaka, ujumbe umebalanceWee waache tu Eve awaingize chaka, uzuri kaishawapa angalizo hapo chini, teh!
Tunajifunza kwa akina Aljehandro.Ndugu zangu wa kiumeni roho ngumu sijui mmemuuzia nani hadi siku hizi mapenzi yanawaliza kama watoto hamkuaga hivi eti!!
Zaman ma-role model walikuwa akina mike tyson.😀😀😀😀kina Angelo
Mm bora niwe Korosho mpaka kwa JWTZ ndo nibanduliwe tena kwa meno .Roho ngumu ndio, ukiwa mlaini sana utateseka yatakupeleka puta yakufanye zombi. Moyo upondeke, ujione haufai uyachukie mapenzi wakati ni makitu matamu tu. Chagua kua nazi (nje ngumu ndani laini) au firigisi (nje laini ndani ngumu) ukiwa maini umekwisha.
Kwenye mapenzi ukiwa na moyo laini sana utateseka, ukiangalia watu wanaoteswa ni watu wenye mioyo laini, wenye mapenzi, unyenyekevu nk yani mtu moyo laini hadi akikosewa anaomba msamaha yeye. Ndugu zangu wa kiumeni roho ngumu sijui mmemuuzia nani hadi siku hizi mapenzi yanawaliza kama watoto hamkuaga hivi eti!!
Enzi hizo nikiwa sijachagua kuwa Nazi, jamaa mmoja alinipeleka puta alininyoosha, namzimia mbaya nae anajua anazimiwa basi simu nimtafute mie nikichuna anachuna, akiwa na kiu ndo anicheki kwa yale makopa nikiitwa natamani kupaa naona gari itanichelewesha. Pozi zikazidi mara simu asipokee uuuh sikomi napiga tu napiga tu mwisho nkajiona fala. Namba yake fyeka, picha msg na kila kitu fyekelea mbali nikauchuna japo naugulia siku inaisha ila kwa tabu oooh.
Wiki tatu zikakata wote kimya, najifanya Nazi nje mgumu ila huku ndani naugua, mara akaibuka na "hi" yani hi tu ikanitia nyegeee nyegezi mapenzi jamani mmmh nikakaushaa zikapita siku kadhaa ikaingia simu namba ngeni sio za Tz inaita mara mbili naicheki tu ya tatu nikapokea "mambo" kumbe ni yeye nikajifanya simjui "poa we nani", najibu kikauzu sauti ya kike nikaiacha kabatini mie flani kajitambulisha, huku moyo umejaa furaha ila najibu kawaida "okay ahsante" akaguna naona alikua haamini akajichetua nimesafiri nikirudi nitakucheki nami "ok" na simu nikakata utadhani nimepiga mie nikasikia rahaa makopa kopa nayaona. Nikawa narudi kwa ile namba naicheki tu nasmile sipigi wala nini.
Kesho yake akaanza upya I miss you much bla bla nikamjibu me too anashukuruuu ooh thanks, much thanks, nkajisemea pambafff kumbe kupendana unajua ila ule ulaini wangu ndo unakupa kiburi tukaanza kupendana tena ila moyo mlaini nikaudelete bora niugulie huko pembeni ila muda huo naweka roho ya nyau.
Nikamkumbuka jamaa yangu anavoliaga na mapenzi, mlaini hadi anaboa utadhani sio mwanaume. Ni vile tu kwenye mapenzi ya watu inatakiwa kuwa na ushauri neutral nisijekua mchawi kalaba hapo baade, mke nae kishamjua jamaa laini basi anamfanyia mapicha picha kosa afanye yeye na bado aombwe msamaha. Jamaa akinipa story anajitutumua yule mwanamke atanikoma nami nampoza kiuongo uongo jamani mapenzi uvumilivu kumbe namjua mwanaume maini tu hana lolote ataenda kuomba msamaha. Ukiona zengwe zinazidi punguza ulaini
Angalizo, za kuambiwa changanya na zako kabla hujaamua kuwa Nazi au firigisi angalia na mtu wako yukoje usijejifanya mgumu akapeperuka. Usikute alikua anakutafutia sababu umejifanya mgumu kumbe ndo umejikatia tiketi.
Alamsik
na wewe mkuu ulijichanganya ilikuaje ukapenda ng'ombe mkuu?Dada SALT asante.nilikua nataka kusikia maneno kama haya.kuna NGOMBE inajifanyisha yani mpaka drama zimekua ndrama.nakua nazii
Hahahha hiyo ng'ombe si uipige mapembe tu....Dada SALT asante.nilikua nataka kusikia maneno kama haya.kuna NGOMBE inajifanyisha yani mpaka drama zimekua ndrama.nakua nazii