Kuna muda mapenzi yanahitaji uwe na roho ngumu ili yaende sawa

Habari za kutingishiwa kibiriti kwangu ni jambo gumu ukitingisha nakilowesha maji kabisa halafu nakaa kimya utahangaika mwenyewe
 
Kuwa lofa kwenye mapenzi kawaida, unaweza ukajitia mgumu lakini ndani ukaumia mpaka ukapata maradhi.

Ego sio nzuri kwenye relationships.
Ooh kumbe heri kuvumilia maradhi ya kusumbuliwa?
Upige simu asipokee, na wala hajigusi kucall back, akukosee na bado umuombe msamaha wewe, anyway kwenye angalizo sikusahau tunatofautiana labda ukiwa maini wewe ndo unakua perfect yote sawa.
 
Habari za kutingishiwa kibiriti kwangu ni jambo gumu ukitingisha nakilowesha maji kabisa halafu nakaa kimya utahangaika mwenyewe
Sijaongelea swala la kutingisha kiberiti bali kufanya maamuzi pale panapohitaji maamuzi, rudia kusoma kama hautajali
 
Mm bora niwe Korosho mpaka kwa JWTZ ndo nibanduliwe tena kwa meno .
 
Dada SALT asante.nilikua nataka kusikia maneno kama haya.kuna NGOMBE inajifanyisha yani mpaka drama zimekua ndrama.nakua nazii
Hahahha hiyo ng'ombe si uipige mapembe tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…