Kuna muda mapenzi yanahitaji uwe na roho ngumu ili yaende sawa

Haya ndo maisha nayoishi nkitext asipojibu ndo kimya kinaendelea mpaka atafute namna yakunijibu
Kuna siku nlishawahi muita geto akazingua blabla nyingi , nkafuata namuuliza tatizo nini? Hana jibu la maana anakumbushia makosa ambayo yalishapitaga na alishanisamehe, nlipoona haeleweki nkasepa zangu kiroho safi yaani sijambebeleza, nafika geto nusu saa nyingi nashangaa mlango unangongwa,
 
kama ume fall in Love kweli, hii trick itakuja kukufanya ufe na stroke.

Ila kwa sisi ambao tunakuwa mguu ndani, mguu nje hii ni solution na inapunguza sana stress.

btw Ushauri mzuri sio rahisi kuupata, pia ni vigumu kuufuata...hasa kwa Mswahili
 
Watu wengine bana yani ukimpenda ndo anakuona zombie heri kuwepo kuwepo tu hueleweki
 
Watu wengine bana yani ukimpenda ndo anakuona zombie heri kuwepo kuwepo tu hueleweki
Ila nashukuru tokea siku hiyo nlitambua udhaifu wake maana kabla ya hapo aliniendesha ka gari mbovu, na nlipoondoka nlijua kabisa its over
 
kama ume fall in Love kweli, hii trick itakuja kukufanya ufe na stroke.

Ila kwa sisi ambao tunakuwa mguu ndani, mguu nje hii ni solution na inapunguza sana stress.

btw Ushauri mzuri sio rahisi kuupata, pia ni vigumu kuufuata...hasa kwa Mswahili
Kufall in love ndo maana ya kuwa nazi unaumia ndani lakin nje unaonesha kutojali maana mtu akijua unaumia anakugeuza zombi lake atakupelekesha kinyama lazima ujitahidi kubalance
 
Wote tu hata wanaume, ukute umelipenda limtu broke ass, huliombi hata mia afu eti nalo linaringa khaaaaa
Kiukweli wanawake too much, kwa wanaume mara nyingi unakuta alikuwa hakupendi, lakin mwanamke unakuta nayy anakupenda kafa kaoza lakini muoneshe kuwa unampenda yy badala aoneshe yake anaamua kuficha
 
Usitufundishe mapenzi hayana formula, una uwezo wa kumuumba mpenzio otherwise yatakayokupata ni matokeo ya kutowajibika kwako basi.
 
Kiukweli wanawake too much, kwa wanaume mara nyingi unakuta alikuwa hakupendi, lakin mwanamke unakuta nayy anakupenda kafa kaoza lakini muoneshe kuwa unampenda yy badala aoneshe yake anaamua kuficha
Sasa kama hapendi mbona ukisepa anarudi rudi kama mp?
 
Sasa kama hapendi mbona ukisepa anarudi rudi kama mp?
Kichwa cha chini kinamsumbua mnyime uone kama atakufuata tena, yaani mwambie tuendelee kuwa wapenzi tu ila mzigo hapana uone kama hatapita hivi, au ukifika wakati wakupeana mzungushe kama alikuwa hakupendi hata mwezi hautaisha atakuonesha ukweli ila kama anakupenda kweli ataenda kula wengine lakini hasepi moja kwa moja atakuwa na muda na ww
 
Usitufundishe mapenzi hayana formula, una uwezo wa kumuumba mpenzio otherwise yatakayokupata ni matokeo ya kutowajibika kwako basi.
Tagged???? Nisiwafundishe wewe na nani?
 
Nacheka kama mazuri, pole bana
Asante,...naendelea kupoa MDOGO MDOGO.anyways ewe Salt...nimekua jf for long but sikuwahi kubwa na account. Nimekua nasoma post zako and unaongeaga ukweli mwingi ujue.am yo big fun and leo kucomment on wat I said its an honour my dia.wewe sio timu ila una mashabiki and Mimi ni mmoja wao.long live EVELYN Salt.umeni inspire kiukweli kua Nazi....hii NGOMBE yangu nimefuta namba ata akipiga sipokei.kwani iko nini?naumia ila ushaniambia niwe Nazi....unazi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…