Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Kwa matukio yaliyotokea siku za karibu kuna maswali imebidi nijiulize
- Mwafrika ni rational human being
- What if wanaotubagua wako sahii kwa asilimia mia mkuu content ya character zetu ni ya ajabu sana
- Kwa nini tusirudi kwenye utawala wa kifalme kama demokrasia hatuwezi
- Hivi marekani ingekuwa ni nchi ya kiafrika na superpower naamini race nyingine zingekuwa zimepotezwa mda sana
- Dunia bila kuwa na mtu mweupe nikimaanisha mzungu ingekuwaje
- Wazungu wanamapungufu yao ila wanaubinadamu