Dennis Robert Shughuru JF-Expert Member Joined May 30, 2024 Posts 5,559 Reaction score 8,747 Nov 4, 2025 #1 Kwa matukio yaliyotokea siku za karibu kuna maswali imebidi nijiulize Mwafrika ni rational human being What if wanaotubagua wako sahii kwa asilimia mia mkuu content ya character zetu ni ya ajabu sana Kwa nini tusirudi kwenye utawala wa kifalme kama demokrasia hatuwezi Hivi marekani ingekuwa ni nchi ya kiafrika na superpower naamini race nyingine zingekuwa zimepotezwa mda sana Dunia bila kuwa na mtu mweupe nikimaanisha mzungu ingekuwaje Wazungu wanamapungufu yao ila wanaubinadamu Ili mabadiliko ya kweli yatokee inatakiwa katiba ibadilishwe ila nauhakika mabadiliko yeyote ya katiba yatazalisha katiba mbovu kuliko hii
Kwa matukio yaliyotokea siku za karibu kuna maswali imebidi nijiulize Mwafrika ni rational human being What if wanaotubagua wako sahii kwa asilimia mia mkuu content ya character zetu ni ya ajabu sana Kwa nini tusirudi kwenye utawala wa kifalme kama demokrasia hatuwezi Hivi marekani ingekuwa ni nchi ya kiafrika na superpower naamini race nyingine zingekuwa zimepotezwa mda sana Dunia bila kuwa na mtu mweupe nikimaanisha mzungu ingekuwaje Wazungu wanamapungufu yao ila wanaubinadamu Ili mabadiliko ya kweli yatokee inatakiwa katiba ibadilishwe ila nauhakika mabadiliko yeyote ya katiba yatazalisha katiba mbovu kuliko hii
K Kijeba Kijeba Senior Member Joined Mar 7, 2024 Posts 182 Reaction score 243 Nov 4, 2025 #2 Mimi ni ccm ila kama nchi tunasafari ndefu sana