Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
Jana si nimeyakanyaga, huwa nafanya kazi dar kwa hio muda mwingi nakua huko ila mke yupo mkoani. Mwisho wa mwaka huwa narudi na mwaka huu nimerudi mapema, sasa jana wema wangu si ukaniponza.
Nikaamua kumtoa out wife, sijui kichaa gn kikaniingia nikampeleka pub moja ambapo huwa naenda sana nikiwa mkoa huo, na pale kuna manzi mmoja huwa napunguzia uzito mara kadhaa.
Yaani kitendo cha kufika tu pale yule manzi akaja kunisikiliza mimi na wife, ile kamaliza akaondoka ghafla wife akanuna ile mbaya mbaya. Ikabidi nimuulize mbona umebadilika mood akasema "umenileta nije kuona malaya zako?" Na hakuongea chcht tena zaidi ya kusema turudi home, na hakula wala kunywa chcht pale.
Huwa sijitetea kwa wanawake ila nikacheka tu na kumwambia sio anavyofikiria. Lakini hadi hapa najua haukua utani maana kalala sebuleni, na wala yule manzi hakunigusa maana anajua yule ni mke wangu, na-recall situation nzima nashindwa kuelewa ni red flag gani wife aliona kati yetu.