Kuna muda wanawake wana intelijensia ya ajabu jana yamenikuta

Unajua na mimi nipo mwanza, ila sitosema chimbo nitachomoa code
 
Kuna wanawake wana instincts za ajabu sana
 
Huyo mhudumu kuna namna flani kamuangalia mkeo, wana hio tabia wanawake, kuna jicho flani huyo mhudumu amemkata mkeo na mkeo akaona kuna kitu.

Hata wewe huku notice , wana codes zao.
Sikunotice chochote labda sababu focus haikuwa hapo maana huyo manzi ni mchangamfu sana na alituchangamkia wote kwa usawa ule ule
 
Hao wake wenye wivu Kia's hiko mnawapataje nipeni code wakuu.
Hii version ya zamani mkuu, hawapatikani sikuhz.

Huyu nilimchomoa pale saut akiwa kisu balaa enzi hizo nikachapa mimba 2 chapchap, mimba ya kwanza amegraduate nayo.

Sasa wa sikuhz hata ukimchapa mimba ndo kwanza anaona kuwa single maza ni fashion, hawa wetu wanauogopa usingle maza ndo maana ni wavumilivu sana
 
kosa kumpeleka eneo ak, cheza mbali na vijiwe....bar mi wahudumu tu nikila wawili wa sehemu moja, hiyo sehemu siendi tena ....juu kwa juu tu we unaenda na wife...umefeli mbinu hudhuria vikao basi
 
Hivi kweli umetaka kutoka na mkeo wa ndoa kabisaa unampeleka bar ? kwani hakuna sehemu zilizotulia kabisa hata kama unaitumia kilevi basi utainjoy kuliko kumkalisha mkeo bar ?

Watu wanaenda na wake ZAO kwenye makasino wewe unaogopa Bar?

Sema inategemea na mtu na mtu.
Wengine wamekutana pipa na mfuniko. Tangu wako chuo club pamoja, bar pamoja, Casino pamoja, yaani tafran
 
Hivi kwa nini wake wanapenda hii kauli ya "malaya zako" yaani kwamba mwanaume akichepuka lazima agegede malaya?
 
unakula ma Barmaids? Mwenzako anakula njugu
 
Hawa viumbe nomaa mkuu,
Unawez kuw ume cheat akakwambia japo hana ushahid wowote , wako very spritial kwetu
 
Umenikumbusha siku napekuliwa simu, akakuta sms za kawaida kabisa za dada mmoja (Tumwite G) nimewahi kufanya naye kazi. Sms zingine za mambo ya kazini. Alikuta sms za kibao tu wanawake lakini akakomaa na sms za G kwamba ni malaya wangu.
Nikajiuliza au kuna sms sikufuta? Kuchek sms zote za kawaida.
Nilimtoa mashaka akatulia lakini ukweli ni kwamba G ninagonga ila tunaheshimiana hatuchati hovyo hovyo coz hajui kama sijaoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…