Amina mtumishiYESU NI BWANA&MWOKOZI
Mkuu Mungu anakupenda achana na hayo mambo.Mimi sasa Kila nikipata demu, siku ya appointment lazma wife anipigie simu anisalimie af anaanza kuniuliza kama Niko salama maana Hana Amani kabisa toka moyoni. Mwanzoni nilikua naogopa naacha , ila sasa hiv hata akinambia naendelea Tu na mipango yangu
Mkeo anakupenda... Acha uzinzi mkuu hauna faida kabisa tulia na mkeo..Mimi sasa Kila nikipata demu, siku ya appointment lazma wife anipigie simu anisalimie af anaanza kuniuliza kama Niko salama maana Hana Amani kabisa toka moyoni. Mwanzoni nilikua naogopa naacha , ila sasa hiv hata akinambia naendelea Tu na mipango yangu
Kawaida sana hiyo wanawake wengi huwa Wana machale sana mm huwa nikitoka kukutana na mchepuka hata kama sijashiriki naye tendo lazima wife ahisi kitu tu mpaka wakati mwingine huwa nahisi naishi na jini ndani.Jana si nimeyakanyaga, huwa nafanya kazi dar kwa hio muda mwingi nakua huko ila mke yupo mkoani. Mwisho wa mwaka huwa narudi na mwaka huu nimerudi mapema, sasa jana wema wangu si ukaniponza.
Nikaamua kumtoa out wife, sijui kichaa gn kikaniingia nikampeleka pub moja ambapo huwa naenda sana nikiwa mkoa huo, na pale kuna manzi mmoja huwa napunguzia uzito mara kadhaa.
Yaani kitendo cha kufika tu pale yule manzi akaja kunisikiliza mimi na wife, ile kamaliza akaondoka ghafla wife akanuna ile mbaya mbaya. Ikabidi nimuulize mbona umebadilika mood akasema "umenileta nije kuona malaya zako?" Na hakuongea chcht tena zaidi ya kusema turudi home, na hakula wala kunywa chcht pale.
Huwa sijitetea kwa wanawake ila nikacheka tu na kumwambia sio anavyofikiria. Lakini hadi hapa najua haukua utani maana kalala sebuleni, na wala yule manzi hakunigusa maana anajua yule ni mke wangu, na-recall situation nzima nashindwa kuelewa ni red flag gani wife aliona kati yetu.
Samahani mkuu, Yesu ni Bwana wako?wazinzi mtapata tabu sana , amueni kuokoka kwa kumkabidhi Bwana Yesu maisha yenu. mzaliwe upya. kwa lengo la kuupata uzima wa milele.
YESU NI BWANA&MWOKOZI
definitely!!!!Samahani mkuu, Yesu ni Bwana wako?
Jana si nimeyakanyaga, huwa nafanya kazi dar kwa hio muda mwingi nakua huko ila mke yupo mkoani. Mwisho wa mwaka huwa narudi na mwaka huu nimerudi mapema, sasa jana wema wangu si ukaniponza.
Nikaamua kumtoa out wife, sijui kichaa gn kikaniingia nikampeleka pub moja ambapo huwa naenda sana nikiwa mkoa huo, na pale kuna manzi mmoja huwa napunguzia uzito mara kadhaa.
Yaani kitendo cha kufika tu pale yule manzi akaja kunisikiliza mimi na wife, ile kamaliza akaondoka ghafla wife akanuna ile mbaya mbaya. Ikabidi nimuulize mbona umebadilika mood akasema "umenileta nije kuona malaya zako?" Na hakuongea chcht tena zaidi ya kusema turudi home, na hakula wala kunywa chcht pale.
Huwa sijitetea kwa wanawake ila nikacheka tu na kumwambia sio anavyofikiria. Lakini hadi hapa najua haukua utani maana kalala sebuleni, na wala yule manzi hakunigusa maana anajua yule ni mke wangu, na-recall situation nzima nashindwa kuelewa ni red flag gani wife aliona kati yetu.
Manzi yako aliwaheshimu kupitilizaJana si nimeyakanyaga, huwa nafanya kazi dar kwa hio muda mwingi nakua huko ila mke yupo mkoani. Mwisho wa mwaka huwa narudi na mwaka huu nimerudi mapema, sasa jana wema wangu si ukaniponza.
Nikaamua kumtoa out wife, sijui kichaa gn kikaniingia nikampeleka pub moja ambapo huwa naenda sana nikiwa mkoa huo, na pale kuna manzi mmoja huwa napunguzia uzito mara kadhaa.
Yaani kitendo cha kufika tu pale yule manzi akaja kunisikiliza mimi na wife, ile kamaliza akaondoka ghafla wife akanuna ile mbaya mbaya. Ikabidi nimuulize mbona umebadilika mood akasema "umenileta nije kuona malaya zako?" Na hakuongea chcht tena zaidi ya kusema turudi home, na hakula wala kunywa chcht pale.
Huwa sijitetea kwa wanawake ila nikacheka tu na kumwambia sio anavyofikiria. Lakini hadi hapa najua haukua utani maana kalala sebuleni, na wala yule manzi hakunigusa maana anajua yule ni mke wangu, na-recall situation nzima nashindwa kuelewa ni red flag gani wife aliona kati yetu.
Don't you feel weird kusema Yesu ni bwanaako?definitely!!!!
how Can I.Don't you feel weird kusema Yesu ni bwanaako?
Alisikia harufu ya shahawa zako mwilini mwa yule demu.Jana si nimeyakanyaga, huwa nafanya kazi dar kwa hio muda mwingi nakua huko ila mke yupo mkoani. Mwisho wa mwaka huwa narudi na mwaka huu nimerudi mapema, sasa jana wema wangu si ukaniponza.