KERO Kuna Mwalimu anabagua Wanafunzi. Anapendelea wanaoenda ‘tuition’ yake tu Shule ya Msingi Katusa - Sumbawanga

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kuna mwalimu mmoja anaitwa Nandi, anafundisha Shule ya Msingi Katusa iliyopo Manispaa ya Sumbawanga Mkoa wa Rukwa anafundisha darasa la tano.

Yeye anafundisha tuition kwa shilingi 300 na mtihani 200 lakini shida yake wanafunzi wasipoenda kwa wingi anaotaka anaenda kufundisha mkondo A ambao wamefika kwa wingi kisha anawaambie wale wengine “inyi ni mambulula nendeni mkawaambie wanaotaka kusoma wa A wawape notes muandike.”

So, anabagua wanaokuja tuition tu, sasa jambo hili linakera wanafunzi na wazazi pia.
 
Hii nayo ya kuileta JF? Utaratibu wa kuchapana maakofi haupo siku hizi?
 
Enzi zetu mwalimu akiwa mnoko na bandidu, anaundiwa zenge anakung'utwa. Gen-Z mnafeli sana
😁
 
Kuna mwalimu mmoja anaitwa Nandi, anafundisha Shule ya Msingi Katusa iliyopo Manispaa ya Sumbawanga Mkoa wa Rukwa anafundisha darasa la tano.

Yeye anafundisha tuition kwa shilingi 300 na mtihani 200 lakini shida yake wanafunzi wasipoenda kwa wingi anaotaka anaenda kufundisha mkondo A ambao wamefika kwa wingi kisha anawaambie wale wengine “inyi ni mambulula nendeni mkawaambie wanaotaka kusoma wa A wawape notes muandike.”

So, anabagua wanaokuja tuition tu, sasa jambo hili linakera wanafunzi na wazazi pia.
Walimu mostly Wana tatizo la afya ya akili na ni washenzi
 
Back
Top Bottom