Kuna mwanamke amepanga kuniroga ili uume wangu usifanye kazi baada ya kumwambia nataka tuachane, naomba msaada nimdhibiti.

Wewe wasema hayo maneno Yako si yangu sijui hata umeyatoa wapi
 
Ushauri ninaokupa ni nenda kwake kama mteja usiyemjua,kama mchawi ni yeye mwenyewe au tafuta kumjua mchawi wake na uende ili ukanyage waya huko kama unayaamini haya.Ila usisahau kuamini uchawi ni chanzo cha umaskini uliotukukaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€Έ
 
apo ukizubaa unatiwa uhanisi mazma au unaamishwa network unakuta ukienda kwake mb.oo inasmama unat.omba vzuri tu ila ukienda kwa uyo mwingine inakuwa doro km umetiwa barafu. usipuuze.
 
Sasa ushasema ni muhumini mzuri na mafundisho ya ALLAH unayajua vp utetereke kwa vitisho vya hivyo simama na MUNGU nna imani hakuna lolote linaloshindikana kwake unless otherwise mwendo umeumaliza πŸ˜€
 
Dogo acha kutunywesha chai na jua lote hili.
Tangu lini demu wa kimang'ati akaweza show za kitandani? Mimi kaka yako ni bazazi mbobevu wa haya mambo. Labda huyo demu awe kakulia au ana chembechembe za kirangi nasi barbaig pasee.

Halafu siku nyingine ukitaka kumzingua demu mwenye mambo ya kiwizad, chukua "para" lako likiwa 90Β° erect mkwangue nalo kuanzia kitovuni kwake mpaka utosini kisha unamalizia kwa kumpiga nalo kichwani kama rungu.
Usimgonge tena, temana nae mazima.
Hata aende ngende nakuhakikishia hawezi kulaza dhakari yako.
 
Jifanye umekuwa chizi, vaa nguo chafu chafu na ufunge kilemba chekundu kichwani , kamata kuku, huku ukiwa unajiongelesha ongelesha maneno ya kupiga mkwara; hapo lazima akukimbie.​
 
Kuna jamaa alikuwa na mwanamke wa ki-iraqi.
Sasa jamaa akamchukua demu wakawa wanaishi Arusha. Demu kapata mimba, jamaa akamkimbia mwanamke (alimtoroka)
Haikupita mwezi mmoja, jamaa akafariki, wakamzika. (Habari yake ikawa imeishia hapo)
 
Wanaume tafuteni hela muachane na hawa low class women.

Chanzo cha hayo yote ni umaskini tu.

Anyway ngoja wajuvi wa nguvu za giza waje
 
Kwa sababu wewe ni malaya sio muoaji miezi yote hiyo unachezea tu mtoto wa watu na unataka kumuacha na akuroge tu Ili usiendelee na ukware wako.

Ruksa kukuroga.Tena akuroge hasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…