Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Shikamoo babuAnhaa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shikamoo babuAnhaa....
Wakiamua kweli ni jeshi kubwaaaUmejibu vyema
Tangu enzi inasemekana wanawake ni jeshi kubwa
Nashangaa sijui tunasubiri nn kuibadilisha duniaWakiamua kweli ni jeshi kubwaaa
Teena la hatari sana
Nimefanyaje mkuu?Mzigua90
Demiss taratibu mama kwaresima hii, tutafutane baada ya pasaka.Mm mwanamke nina kitumbua na matiti
Kuna lingine
HahahaLemchepuko wangu binafsi unapenda ubuyu... khaa...
Nasubiria nione kama utatajwa wewe ili nifanye maamuzi magumu
HahahaHa ha ha ha umekuja kusubir uone utakavyopigiwa makofi
Wanawake hawaaamini kama wanaweza kusimamia misimamo yaoooNashangaa sijui tunasubiri nn kuibadilisha dunia
Tatizo wanasema mm dumeeeDemiss taratibu mama kwaresima hii, tutafutane baada ya pasaka.
Niruhusu bas na mm nkutaje wewe?Hahaha
Namsubiria huyo mrembo mwenye nyota yakeee
Kuna haja ya kuanzisha kampeni juu ya hiliWanawake hawaaamini kama wanaweza kusimamia misimamo yaooo
Na kama kilichotokea kwangu kuitwa dumeee
Ni baadhi ya vikwazo vya kutuangusha
HahahaNiruhusu bas na mm nkutaje wewe?
kwahyo kumbe nimeharbu utaratbu ngoja kwanza atajwe kesho na mie nikusuprizeeHahaha
Huwa hawaombagi ruhusa bwana!! Ni sapuraiziii
Hawa wanaume dawa yao inachemkaKuna haja ya kuanzisha kampeni juu ya hili
mkuu rudisha kale kapicha, nmekuzoea kupitia profile ile.We sikutaki tena mscheeew. Nilikukubalia Shunie naona unatanua himaya.
Kwanza nakusemea kwa babu
Kale ka picha ile melanin inawachanganya watu wanajua rangi yangumkuu rudisha kale kapicha, nmekuzoea kupitia profile ile.
Ni ya wap hii I hope itakua yaHapana mkuu