Kuna Mwanamke nampenda humu hadi Malaika wa Mbinguni wanajua, je nivunje ukimya ili afurahi?

Napenda tu kuchukua nafasi hii adhimu kuwashukuruni nyote ambao mmekuwa macho humu JF muda wote hadi sasa hivi mkisubiri kwa hamu sana kumjua ni Mwanamke gani huyu ambaye pia ni JF Member aliyepata ' bahati ' kubwa ya Kupendwa na Kukubalika ' Kimahaba ' na Mimi GENTAMYCINE.

Niwaombe tu kama ambavyo mmekuwa wavumilivu kwa masaa haya matatu yaliyopita basi nawaomba sasa muwe tena wavumilivu kwa masaa mengine sita yajayo kwani ifikapo muda wangu ambao huwa nakaa muda mrefu humu JF Saa 4 hadi Saa 6 usiku ndipo nitamtaja rasmi hivyo niwaombeni tu Members wote kuwa msilale leo au kama unajijua kuwa usiku huwa unasinzia mapema basi lala tu sasa hivi ili usiku wa leo umjue Mwanamke ambaye anasumbua ' akili ' za GENTAMYCINE na leo naenda kumtaja hadharani hapa.

Kama huna bundle la kutosha nakushauri nunua bundle sasa hivi na liwepo kwani leo nimedhamiria kabisa kuvunja ukimya na huyo Mwanamke nitakayemtaja humu akae akijua kuwa nimeshamfuatilia mwanzo mwisho na namjua hadi anakofanya Kazi, Wazazi na Ndugu zake wote japo Yeye hanijui ila nimehangaika miaka yote kutafuta Mwanamke ambaye ataendana na IQ zangu na ambaye sitoishia tu kumuita Mke bali kila mara nitakuwa namuita Malkia kwani kiukweli ana sifa zote za umalkia.

Kuonyesha kwamba sitanii na nimedhamiria ni kwamba huyo Mwanamke umri wake ni kati ya miaka 30 hadi 35 tu, anafanana karibu kila Kitu na Mwanamke ambaye mpaka leo bado sijaona wa kumpita kwa Urembo Jennifer Lopez. Lips zake ni kama za Hamisa Mobetto na sauti yake ni ya kudekadeka kama vile ya Zari au Wema Sepetu na kwa Mkoa anaoishi sasa ni huu wa Dar es Salaam Wilaya ya Maulid Mtulia.

Nazidi kusisitiza kwamba nitakaporudi tena humu leo usiku wa Saa 4 na kuwepo humu hadi Saa 6 kama kawaida yangu ndipo nitaweza kumuweka hadharani na najua huyo Mwanamke atakuwa ni mwenye furaha ya ajabu, hatoamini ila akae akijua kuwa GENTAMYCINE nimezunguka kote lakini Kwake nimefika na nilifanya Kazi ' pevu ' sana na ya ziada mno hadi kuweza kuijua ID yake humu JF bila hata ya Yeye kujua ila ilinibidi nitumie hizo mbinu zote kwakuwa nimempenda kidhati na siyo kumchezea na kumtesa. Awe tu tayari kuolewa na Mzanaki Mtutsi kutoka Mara Tanzania na Gisenyi Rwanda aliyechanganya na Mmakuwa Mmwela kutoka Mtwara na Lindi.

Na kuanzia sasa awe tayari na huru kabisa kujiita Mrs. GENTAMYCINE.
Duuuuhhhhhh
 
Nimesoma mstari kwa mstari, neno kwa neno, herufi kwa herufi, nukta kwa nukta......

Wahenga walinena.

Fumbo mfumbie mjinga, mwerevu atambue.

Tukutane saa 6 usiku!
 
Masaa sita ya ziada..

Kama umeweza kuyavumilia yale matatu ya mwanzo Mkuu unashindwa nini sasa kuyavumilia tu hayo machache yajayo ambayo ni sita tu? Vuta subira na hakikisha ifikapo Saa 4 Kamili hadi Saa 6 Kamili usiku wa leo hubanduki humu JamiiForums ili uweze sasa rasmi kumjua Mrs. GENTAMYCINE na kuanzia leo muanze sasa kumuheshimu na kujiandaa kuja kuhudhuria Harusi / Ndoa yetu ambayo nategemea Members wote wa JF watahudhuria.
 
Kwa umri ulioukisia mkuu sina haja tena ya kuendelea kusubiri masaa sita yajayo.. Mwanzo nilikuwa nawasi wasi inaweza ikawa ni mrembo wangu.. Kwasasa wacha niendelee na mambo yangu tu huku hakunihusu
 
Back
Top Bottom