Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Jirani humu wanaita Home of Great ThinkersMwifwa fungua codes
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jirani humu wanaita Home of Great ThinkersMwifwa fungua codes
Usjal babes wewe tenaNisamehe kakake shunie
Watakuwa na mioyo ya kipekee wale wote watakaoyasubiria.Masaa sita ya ziada..
Hakika sister.. Mimi buherii wa afya sijui wewe?Watakuwa na mioyo ya kipekee watakaoyasubiria
Naomba nikusalimie. Mzima wewe? Sababu umekuwa adimu sana humu, kwema huko?
Hahaha okeyHapana simpati hata kidogo.
Mie pia sijambo Kaka. Nimefurahi kukuona leo.Hakika sister.. Mimi buherii wa afya sijui wewe?
Hahah! nipo nachungulia chungulia tu..
Mie niko huku bahati mbayaJirani humu wanaita Home of Great Thinkers
Inapendeza sana kusikia upo vyema sister.. Nitajitahidi nipangilie mambo yangu nisikosena tena jukwaaniMie pia sijambo Kaka. Nimefurahi kukuona leo.
Na kweli unachungulia tu sababu umekuwa adimu mno.
Haya bana Kaka uwe na jioni njema.
EwaaaaaUsjal babes wewe tena
Sio mzee wa busara tenaNisamehe kakake shunie
Yaan zaidi ya mioyo na hawana pa kulalaWatakuwa na mioyo ya kipekee wale wote watakaoyasubiria.
Naomba nikusalimie. Mzima wewe? Sababu umekuwa adimu sana humu, kwema huko?
Hapana.Mie niko huku bahati mbaya
Sawa kaka Usijali. Ndio ujitahidi niwe nakuona ona yaani usiadimike kiasi hicho.Inapendeza sana kusikia upo vyema sister.. Nitajitahidi nipangilie mambo yangu nisikosena tena jukwaani
Jioni njema kwako pia..
Umeonaeeee. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaan zaidi ya mioyo na hawana pa kulala
Niache kulala nije kukesha jf nalipwa au yaan wataokesha hawana pa kulala au wanalala kwa shemeji zao halaf nilichoshtukia Genta anacheza na akili zetu hakuna mwanamke anayempenda wala ninii kashaona watu wanapenda ubuyuUmeonaeeee. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka sana hao wa kusubiria sa 6 wasilale watakuwa hawana vitanda kama wanaume wanalala kwa shemeji zao seblen woiii