Kuna mwanaume mida hii kalala na boxer aliyoshinda nayo mchana…

Kuna mwanaume mida hii kalala na boxer aliyoshinda nayo mchana…

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
Boxer umezunguuka nayo wee, usiku unaoga, unarudia boxer hiyo hiyo, mkiulizwa mnasema mwanaume unakuaje na boxer nyingi, je hicho sio kichaa? nyie ndio mnaumwa fungus kisha mkikutana na wadada mnawaambukiza.

Mwanaume usafi, kua na boxer za kutosha and keep your closed parts clean and dry. mpoo? 👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼
 
1769380717780.jpeg
 
Back
Top Bottom