Kuna mwenye experience ya kudate na mwanamke anaemiliki pub?

Kuna mwenye experience ya kudate na mwanamke anaemiliki pub?

Wakuu,kuna mwanamke mmoja mmiliki wa pub moja maarufu hapo Dar naona tunakoelekea ni kuanza kulana tu sasa.
Hivi kuna mwenye uzoefu wa kidate na wanawake wenye kumiliki bar humu anipe abc zao kabla sijatoa maamuzi?

Date naye tu hawana shida.Ila usipende kunywa hapo kwenye pub yake labda kama upo tayari kuwa ATM yake na hauna wivu nae.
 
Back
Top Bottom