castieltsar
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 1,528
- 2,723
nikuombee sitisha huo mpango walichokwambia walimwengu elewa tu vizuri usikaze ubongo kama unapita pita haraka ila kama nikuweka kikao utapotea njia kiongozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ghuikoleleghe kanunu.Wakuu,kuna mwanamke mmoja mmiliki wa pub moja maarufu hapo Dar naona tunakoelekea ni kuanza kulana tu sasa.
Hivi kuna mwenye uzoefu wa kidate na wanawake wenye kumiliki bar humu anipe abc zao kabla sijatoa maamuzi?
Mwanamke ni mwanamke tu blood hata kama angekua CEO wa EAC.
Mwanamke ni mwanamke tu blood hata kama angekua CEO wa EAC.
Mwambie asichelewe kabla hajabadili maamuzi blood 👊🏾✊🏿
NakaziaNakukumbusha tu
Rais Trump amekata misaada ya Arvs kwa africa.
So jipange.