PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
UkimwiWakuu,kuna mwanamke mmoja mmiliki wa pub moja maarufu hapo Dar naona tunakoelekea ni kuanza kulana tu sasa.
Hivi kuna mwenye uzoefu wa kidate na wanawake wenye kumiliki bar humu anipe abc zao kabla sijatoa maamuzi?