Kuna mwenye experience ya kudate na mwanamke anaemiliki pub?

Wakuu,kuna mwanamke mmoja mmiliki wa pub moja maarufu hapo Dar naona tunakoelekea ni kuanza kulana tu sasa.
Hivi kuna mwenye uzoefu wa kidate na wanawake wenye kumiliki bar humu anipe abc zao kabla sijatoa maamuzi?

swali utakalojiuliza: "nimefikaje hapa?".

kuwa makini mkuu
 
Cha msingi ni kuvaa condom mkuu! Vaa condom
 
Bro unaikimbilia nyaya ya umeme iliyo uchi....shoti utatandikwa na tanesco hawaji abadani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wakuu,kuna mwanamke mmoja mmiliki wa pub moja maarufu hapo Dar naona tunakoelekea ni kuanza kulana tu sasa.
Hivi kuna mwenye uzoefu wa kidate na wanawake wenye kumiliki bar humu anipe abc zao kabla sijatoa maamuzi?
Mimi nina uzoefu kidogo, kwa kifupi kimbia achana naye, ni sawa na kwenda bar na baadae uondoke na bar maid.

Nilimwezesha mtaji na hata jina la pub na pub inabamba kinoma lakini nimekwenda pub mara moja tu na siku nimeenda alikuwa Bize sana na simu mwisho wa siku akaja chalii mmoja na ki stalelet na akawa Bize zaidi na hiyo chalii, mimi nikasema

Fear b***s
 
Kuna watu wana date na wachezaji vigodoro shughuli ikiisha wanaondoka wote saa 9 usiku sembuse wewe wa pub
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ