Yaani hapo kwa shaboka wamejaa mabinti ambao wameumizwa sana na mahusiano, yule ni mtumishi wa kweli wa bwana ila delivery yake ya sermon imejikita zaidi na kuongelea experience na mawazo yake binafsi kutokana na uelewa wake wa mahusiano ya kimapenzi.
In short, i am not judging lakini ana sermon mbovu na haribifu sana kwa kizazi cha leo. She once said wamama wakiwa nyumbani wakae sitting room na night dress tu kwa wanaume zao regardless ya uwepo wa watoto, i then knew kwamba something was wrong somewhere.
And to add more, wengi wanasema she once had a very disasterful relationship, so maybe past trauma ndo zinamfanya awe na sermon za ajabu, Na wadada wanaoumizwa wanampenda sana maana wanaona ni kama survivor hivi wa mambo ya ajabu wanayopitia. Psychologically anawa exploit if you come to think of it. Anyways, sio kanisa sahihi kwa mtu anayejielewa kwenda kusali.