2025DG
JF-Expert Member
- Jan 30, 2023
- 520
- 1,498
Hello.
Msije kusema na wasema watumishi wa bwana.
Ila Tupo hapa kwa ajiri ya kujenga na jf ni sehemu pekee mtu anaweza kupata picha ya mambo ya watu wengi wasioyajua.
Kuna rafiki yangu mmoja amenishauri niende kusali kwa Rose&Nick SHABOKA.
sasa nimefuatilia mahubiri yao mtandaoni naona kama muda mwingi wanahubiri mambo ya mahusiano tu.
Kanisa lake vimejaa vibinti vinavaa vimini balaaa.
Na ma single mother wengi wanaotafuta ndoa za muujiza.
Wakuu najiuliza niende kusali?
Je kuna lingine nisilolijua kuhusiana na huduma yao ya kitume.