Kuna mwenye undani wa ROSE & NICK SHABOKA?

Achana na hivi vikanisa vya watu binafsi na mitume utakuja kunishukuru baadae...hilo kanisa linapendwa sana na vibinti hasa waliopitia changamoto za mahusiano ya kimapenzi au ndoa naona ndio centre ya faraja yao..
 
Wewe kichwa.

Mimi siko kuupinga ukristo mm ni mkiristo tena nimeokoka.

Nipo hapa Kujenga na Kusaidia katika maisha ya imani.

Nani amesema watumishi wa Mungu hawaongelewi.
Umeokoka kwenda wapi wewe kijana ?

Acha ubabaishaji
 
Tuor ni takataka gani wewe jamaa
Au ni jina la mumeo wa zamani ?

Punguza makasilko ungekuwa serious kusoma darasan kama unavyo soma coment za jf saiv usingekuwa mzigo kwenu na familia yako [emoji23][emoji23]….Chillax
 
Nimekupata mzee wa tuor na coment.

Ukisikia paaaah ujue umekupata hiyo.
 
Ushers wanavaa ka mabaamedi..vigauni vigupi hadi wanajivuta,suruali zimewabana sana.waimba kwaya unakuta kavaa skin tight na tishrt kubwa,wenginw vimini na skin tight ili ziwastiri mapaja.waumini wana hela balaa..noti zinamwagwa chini sio kwenye kikapu..

Pastor wao sasa..anapiga suti kali,anatembea na kikundi cha watu nyuma yake ikiwemo bidyguards na wapambe..ananukia paerfume ghali,anatembelea bonge la v8 haya matoleo mapya..ni mnaija hajui kiswahili fasaha

Toa location ama jina la kanisa
 
Show kali hiyo.
 
Back
Top Bottom