Kuna mwenye undani wa ROSE & NICK SHABOKA?

Kuna mwenye undani wa ROSE & NICK SHABOKA?

Naona jana umeanza kwa Pastor Kapola. Leo umeamkia kwa Rose Shaboka.

Kesho kwa mwingine .

Listen, you are just an idiot. Lengo lako la kuwachafua Wakristo litagonga mwamba.

Huna unachokitafuta. Ni upuuzi tu na agenda zako za kipuuzi.

Asshole
Baby Christians mtatandikwa na hawa ma chalartan mpaka mshike adabu. Bibilia inasema tuzichinguze hizo roho kama kweli zinatokana na Mungu au la pia imeongeza kusema msiwe kama watoto wachanga msitupwe huku na kule na kuchukuliwa na kila upepo kwa HILA za watu.Hawa manabii, mitume, wachungaji, waalimu fake watakokota wengi kuzimu yamkini hata wateule. Shika ulichonacho, asije mtume akaitwaa taji yako.
 
Na hiki ndicho alichokikusudia mleta mada. Apate taarifa Kama hizi na umbea mwingine wa kuwachafua wahusika ili asikie burudani.

Watu weusi hatupendi ku-mind our own business.

Kuna mwingine anaitwa Genta Nini sijui kila jumapili anamwanzishia thread mwamposa.

Tuna Shida Sana !!
Unaongea kama mlinzi wa madhabahu ya new day church.

We ni mdau wa ktk huduma ya hao watiwa mafuta?
 
Kama kweli ameokoka kwa nini atoe kitu alichokiumba Mungu hana tofauti na wanao enda kurekebisha shepu au wanaojichubua ngozi.
Kwenye ukristo Kuna sheria zinazotuongoza mienendo mbalimbali,,,hili la nyusi halipo..
 
Aisee kumbe hata mkitengeneza shepu hamna dhambi au hamkosoi umbaji wa Mungu
Eeeh hamna sehemu imekatazwa,tunaongozwa na neno sie....Tuna Amri kuu kumi....na miongozo mbalimbali,ukichonga shepu we mbinguni unaingia bila tatizo,labda matumizi ya hiyo shepu ndio yatakukwamisha
 
Eeeh hamna sehemu imekatazwa,tunaongozwa na neno sie....Tuna Amri kuu kumi....na miongozo mbalimbali,ukichonga shepu we mbinguni unaingia bila tatizo,labda matumizi ya hiyo shepu ndio yatakukwamisha
Nimekuelewa mpendwa upande wenu tofauti na kwetu hii imeandikwa ni dhambi kubwa.
 
Attachments

  • C4BDDAE5-32A5-4F46-80F3-1F175BF840BD.jpeg
    C4BDDAE5-32A5-4F46-80F3-1F175BF840BD.jpeg
    162.2 KB · Views: 22
Mke wangu anasali hilo kanisa. Nisikilize mimi, kama unataka kukua kiimani nenda kasali pale. Hawana longo longo na wanakupa za uso, ukizingua unaaambiwa wewe hamna pekecha pekecha mimi naona kabisa wife kakua kiakili na kiroho baada ya kusali pale ni kanisa zuri na wanajielewa. Pili sio wachungaji wanaowaza sadaka mbele, walivokuwa wanaanza kujenga kanisa walitoa zaidi ya kupokea which is weird, wamegawa nafaka kanisani kwao wamelea yatima yani ni watu wawili ambao hawana famba famba, jitanidi sikiliza mahubiri yao mtandaoni ata kwa wiki alafu utanielewa
 
Naona jana umeanza kwa Pastor Kapola. Leo umeamkia kwa Rose Shaboka.

Kesho kwa mwingine .

Listen, you are just an idiot. Lengo lako la kuwachafua Wakristo litagonga mwamba.

Huna unachokitafuta. Ni upuuzi tu na agenda zako za kipuuzi.

Asshole
Ameuliza Kwa uzuri tu Mkuu mbona povu,[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hawa watumishi wa makanisa ya kisasa asilimia 98 ni matapeli tuu, hawa ihubiri ile kweli ya Mungu ya kwenye maandiko matakatifu tena,

wamebaki na mambo yao ya hovyo hovyo tuu, wengine ndio wame geuza sehemu ya kuzungumzia mahusiano, na wengi wame chukua hiyo mada ya mahusiano kwa sababu wanajua wengi ni waathirika wa mahusiano lazima wapate watu,

huko nenda kachukue pisi tuu hakuna kingine, kwa sababu hayo makanisa yao hua hayana tofauti na madanguro
 
Mke wangu anasali hilo kanisa. Nisikilize mimi, kama unataka kukua kiimani nenda kasali pale. Hawana longo longo na wanakupa za uso, ukizingua unaaambiwa wewe hamna pekecha pekecha mimi naona kabisa wife kakua kiakili na kiroho baada ya kusali pale ni kanisa zuri na wanajielewa. Pili sio wachungaji wanaowaza sadaka mbele, walivokuwa wanaanza kujenga kanisa walitoa zaidi ya kupokea which is weird, wamegawa nafaka kanisani kwao wamelea yatima yani ni watu wawili ambao hawana famba famba, jitanidi sikiliza mahubiri yao mtandaoni ata kwa wiki alafu utanielewa

Mbona wewe hausali hapo?
 
Back
Top Bottom