Kuna mwenye undani wa ROSE & NICK SHABOKA?

Kama una kwenda kanisani kwa ajili ya kutafuta mke, kwa niaba ya mbingu nakupa pole sana.
Iwe kwa Pastor Rose, sijui nabii nani na nani, wala mtume yupi wa wapi.

Huko kote sio sehemu ya kwenda na salama kutafuta mwenzi, huko kuna waliotendwa na kukataa tamaa.
Wote wale wana sifa ya uigizaji (usisahau wema na ukarimu na utii na unyenyekevu uko ndani ya majengo ya kanisa, sio ndani ya moyo wa mtu).

Siwajui vizuri hawa watu, ninacho jua biashara ya injili kwa jina la yesu ni kubwa sana, hasa ukizingatia soko kubwa la wapumbavu katika imani.
 
Kama kweli ameokoka kwa nini atoe kitu alichokiumba Mungu hana tofauti na wanao enda kurekebisha shepu au wanaojichubua ngozi.

Na ngozi anajichubua Rose tulosoma nae Mlimani hakua mweupe wa hivyo na mkorogo alikua anauza labda kama ameacha saivi.
 
Mleta mada najua uko ma mashaka meng sana.

Pindi nlipokuwa namtafuta bwana sikuwa na mtizamo kama wako. Nlikuwa najichanganya kote kote nasikiliza neno ila sasa najua neno la kweli liko wapi na ni baada ya kujifunza kwa weng kwa kuwasikiliza na kusikiliza masomo na mahubiri yao.

Kuhusu sadaka mkuu usijewaza hilo. Sadaka hata kwa mganga inatolewa na Mungu wako mpe sadaka tena iliyo bora.
MAombi bila sadaka utakesha kuomba
Yeye mungu kasema anashida na fedha?
 
Yaani hapo kwa shaboka wamejaa mabinti ambao wameumizwa sana na mahusiano, yule ni mtumishi wa kweli wa bwana ila delivery yake ya sermon imejikita zaidi na kuongelea experience na mawazo yake binafsi kutokana na uelewa wake wa mahusiano ya kimapenzi.

In short, i am not judging lakini ana sermon mbovu na haribifu sana kwa kizazi cha leo. She once said wamama wakiwa nyumbani wakae sitting room na night dress tu kwa wanaume zao regardless ya uwepo wa watoto, i then knew kwamba something was wrong somewhere.

And to add more, wengi wanasema she once had a very disasterful relationship, so maybe past trauma ndo zinamfanya awe na sermon za ajabu, Na wadada wanaoumizwa wanampenda sana maana wanaona ni kama survivor hivi wa mambo ya ajabu wanayopitia. Psychologically anawa exploit if you come to think of it. Anyways, sio kanisa sahihi kwa mtu anayejielewa kwenda kusali.
Rose ni Mtumishi wa Mungu, hata akiwa na mapungufu namna gani, yeye lazima tu at one point in time alishawahi kukutana na Mungu, kuna kitu kikubwa sana ndani yake. speaking in an honest heart. ila bwanake anahitaji msaada mkubwa sana kiroho na no wonder anaweza kuwa amemnyanyasa sana huyo mwanamke. nasema hivi kwasababu ana umarekani fulani ambao anatakiwa kuuacha mara moja, kuna siku niliona kwenye clip anabishana na mtu aliyekuwa anawaondoa eneo waliloweka kanisa kimakosa, akawa anabishana kimwili, na analeta umarekani fulani hivi, mara yule mtu wa ardhi asiingie eneo lake na mambo kibao ambayo wamarekani huwa wanafanya, alitakiwa kaucha mtu wa ardhi afanye kazi yake, yeye atafute haki yake kwa namna ya sheria na watanzania tunavyoishi. Mungu amsaidie lakini kwasababu hata kwa haya yote, naamini yeye ni mtakatifu kuliko hata mimi, mimi naweza kuwa na mapungufu mengi kuliko yeye though mimi sasa sio mchungaji kama yeye, yeye anatakiwa kujiposition kwenye nafasi yake kiusahihi asifikiri yupo kama sisi maraia huku; kuhusiana na mahusiano, siwezi kumhukumu sana hata hivyo kwasababu hata mimi nimeshawahi kumcheat sana mke wangu wakati yeye ni honest na trauma hiyo ndio inamsumbua wife hadi leo haamini kama siwezi kuishi bila kucheat. wanaume tuwe makini na tuwe na huruma.

Nampenda sana Rose, sijawahi kuhudhuria kanisa lake, ila akianza kuabudu unamwona Mungu ndani yake, though akianza kuhubiri kuhusu relationships unaona kuna mapungufu ubinadamu na hasira za kuchapiwa unaingizwa (sisemi alichapiwa, sina ushahidi), ila kuna kosa moja walokole huwa wanafanya, huwa wanaamini wanaweza kufundisha waumini namna ya kumfurahisha mweza kimapenzi, hawajui kama waumini wao wameenda pale baada ya kuacha dhambi, walikuwa wamekubuhu, kama ni uzinzi wamefanya wote hawajabakisha, mambususu yao yameshavurugwa kwa namna zooote, na wameenda tu pale ili wamrudie Mungu, wanahitaji mahubiri ya kuponya roho wala sio mwili tena kwasababu kwa habari ya mwili, wana uzoefu na ubora pengine hata yule anayefundisha. sasa mtu kama huyo kweli ndio umfundishe namna ya kukaa seductive mbele ya bwanake, kwani alivyokuwa anadanga au alivyokuwa anajiuza hakufanya hayo kwa wateja?
 
Na ngozi anajichubua Rose tulosoma nae Mlimani hakua mweupe wa hivyo na mkorogo alikua anauza labda kama ameacha saivi.

Nakumbuka amuza sana mikorogo [emoji28][emoji28][emoji28]ghafla mama mchungaji
 
Sasa kama unajielewa kaa mbali na watumishi wenye sermon mbovu kama wale. By the way kwanza watumishi wa Mungu wa kweli ni wengi sana, Mungu tu atakuongoza utampata bora na mwenye mafundisho sahihi.
 
shida ni kwamba, awali watu wengi huwa wanaitwa na Mungu, wana Mungu na wanaoperate kwa Nguvu za Mungu. along the way, tamaa ya pesa inaingia, kiburi na kutotii sauti ya Mungu kunakuja, dhambi hasa ya uzinzi na zingine zinafungua milango ya mashetani yanayowaingia, Mungu anaondoka, anawaacha wakiwa peke yao, ndipo sasa wanageukia njia ya shetani, na kutumia akili na elimu za kidunia kujaribu kuokoa roho jambo lisilowezekana. mwisho, ndio wanakuwa wapigaji tu ila awali walikuwa watu wa Mungu. simnyooshei kidole mtu. hata hao kina mzee wa upako na wengine wengi, usijefikiri awali hawakuwa watu wa Mungu, ni kwamba wamekengeuka na Mungu amewaacha waendelee na tamaa zao na aina ya maisha waliyochagua, na Mungu ameenda kwa wengine, Mungu ana watu wengi, ukileta kiburi kwake anakuacha anaenda kwa mwingine.

kwenye historia, Sauli Mfalme wa Israel alipendwa sana na Mungu, aliongozwa na Mungu, siku aliposhindwa kutii Sauti ya Mungu, Mungu alimwacha, akawa anaishi kwa akili zake mwenyewe hadi ikafika mahali akaenda kuagua kwa waganga, mtu aliyekuwa anasaidiwa na Mungu ikafikia hatua akageukiwa kwa mashetani kuomba msaada na direction.

wakati huo huo, Mungu alishaenda porini huko kwa kijana hata watu wasiyemdhania, Daudi akiwa machungani, akampaka mafuta kwa mkono wa Samweli, hivyo Sauli aliishi kitambo tu akiwa mfalme ambaye Mungu amemwacha, na Daudi aliishi kitambo tu akiwa amepakwa mafuta kuwa mfalme lakini bado yupo machungani. Mungu aliendelea kuwa naye hadi siku alipopigana na Goliath, kitambo tu akiwa rafiki wa Jonathan akiishi ikulu kwa saulu, ikulu ambayo Mungu alishampaka mafuta yeye ndio akae, alipowindwa na Sauli akaishi ukimbizini na maporini kwa miaka kadhaa....

ndio maana tunasema, hawa manabii na apostles wa uongo wameibuka, Mungu amewaacha, ila amejipakia mafuta watu wake halisi ambao katu huwezi kuwadhania, wale waliodharaulika ambao kwa macho ya kibinadamu huwezi amini kama watachukua tochi ya injili kuangaza kote ambako hawa wauza mafuta wamechafua, na Mungu atajitetea mwenyewe kama alivyojitetea kwa Daudi mbele ya Goliati.

I am not a pastor, lakini jambo ninalohakikishiwa ni kwamba, uchungaji hautakiwi kuwa sehemu ya kupata kipato cha utajiri, hata ukipata hela basi ziwe zinafanya kazi ya injili. vilevile, hautakiwi kuenenda kwa mwili, bali kwa Roho, that means, hata kuhubiri usihubiri kimwili, lazima Roho Mtakatifu ahusike, maneno yako hata kama yana elimu namna gani, yana saikolojia namna gani, una kipawa cha kuongea mbele za watu namna gani kama hayana Nguvu za Mungu, hayawezi kuokoa roho, ila popote alipo Roho wa Mungu lazima mguso na badiliko la wokovu wa Mungu lionekane, kwa wanaonielewa wamenielewa.
 
Mke wangu anasali hilo kanisa. Nisikilize mimi, kama unataka kukua kiimani nenda kasali pale. Hawana longo longo na wanakupa za uso, ukizingua unaaambiwa wewe hamna pekecha pekecha mimi naona kabisa wife kakua kiakili na kiroho baada ya kusali pale ni kanisa zuri na wanajielewa. Pili sio wachungaji wanaowaza sadaka mbele, walivokuwa wanaanza kujenga kanisa walitoa zaidi ya kupokea which is weird, wamegawa nafaka kanisani kwao wamelea yatima yani ni watu wawili ambao hawana famba famba, jitanidi sikiliza mahubiri yao mtandaoni ata kwa wiki alafu utanielewa
Lipia tangazo
 
Rose ni Mtumishi wa Mungu, hata akiwa na mapungufu namna gani, yeye lazima tu at one point in time alishawahi kukutana na Mungu, kuna kitu kikubwa sana ndani yake. speaking in an honest heart. ila bwanake anahitaji msaada mkubwa sana kiroho na no wonder anaweza kuwa amemnyanyasa sana huyo mwanamke. nasema hivi kwasababu ana umarekani fulani ambao anatakiwa kuuacha mara moja, kuna siku niliona kwenye clip anabishana na mtu aliyekuwa anawaondoa eneo waliloweka kanisa kimakosa, akawa anabishana kimwili, na analeta umarekani fulani hivi, mara yule mtu wa ardhi asiingie eneo lake na mambo kibao ambayo wamarekani huwa wanafanya, alitakiwa kaucha mtu wa ardhi afanye kazi yake, yeye atafute haki yake kwa namna ya sheria na watanzania tunavyoishi. Mungu amsaidie lakini kwasababu hata kwa haya yote, naamini yeye ni mtakatifu kuliko hata mimi, mimi naweza kuwa na mapungufu mengi kuliko yeye though mimi sasa sio mchungaji kama yeye, yeye anatakiwa kujiposition kwenye nafasi yake kiusahihi asifikiri yupo kama sisi maraia huku; kuhusiana na mahusiano, siwezi kumhukumu sana hata hivyo kwasababu hata mimi nimeshawahi kumcheat sana mke wangu wakati yeye ni honest na trauma hiyo ndio inamsumbua wife hadi leo haamini kama siwezi kuishi bila kucheat. wanaume tuwe makini na tuwe na huruma.

Nampenda sana Rose, sijawahi kuhudhuria kanisa lake, ila akianza kuabudu unamwona Mungu ndani yake, though akianza kuhubiri kuhusu relationships unaona kuna mapungufu ubinadamu na hasira za kuchapiwa unaingizwa (sisemi alichapiwa, sina ushahidi), ila kuna kosa moja walokole huwa wanafanya, huwa wanaamini wanaweza kufundisha waumini namna ya kumfurahisha mweza kimapenzi, hawajui kama waumini wao wameenda pale baada ya kuacha dhambi, walikuwa wamekubuhu, kama ni uzinzi wamefanya wote hawajabakisha, mambususu yao yameshavurugwa kwa namna zooote, na wameenda tu pale ili wamrudie Mungu, wanahitaji mahubiri ya kuponya roho wala sio mwili tena kwasababu kwa habari ya mwili, wana uzoefu na ubora pengine hata yule anayefundisha. sasa mtu kama huyo kweli ndio umfundishe namna ya kukaa seductive mbele ya bwanake, kwani alivyokuwa anadanga au alivyokuwa anajiuza hakufanya hayo kwa wateja?
Lipia tangazo
 
Formula ni moja,makanisa ya kweli yapo kama Taasisi,ila ukiona kanisa la mchungaji/Nabii/Mtume/Askofu fulani kimbia!
 
Back
Top Bottom