Kuna mwenye uzoefu wa kudate na mwanamke Engineer humu?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Naje wazee?

Aisee,kuna mdada ni engineer tuko nae kwenye mahusiano huu mwezi wa pili lakini dezaini flani kama sizisomi pigo zake.huyu manzi ni engineer by profession ila yuko busy balaa, inaweza ikapita hata week nzima hapatikani ukimuuliza anasema alikua site porini huko kwenye project na hakuna network.

Me napata wakati mgumu sana kumuelewa,nahis huko wanagongana tu na staff wenzie. Anyone mwenye ako na uzoefu wa kudate ba mdada engineer please help me.
 
Kama humuamini achana nae.. But reality hzo ndio changamoto za engineers tunazojutana nazo..

Sometime site hakuna kweli network, hususa hawa wa barabara... Ila kugongana site ni ngumu sana.. Kwa maana sio sehemu rafiki
Naje wazee?
Aisee,kuna mdada ni engineer tuko nae kwenye mahusiano huu mwezi wa pili lakini dezaini flani kama sizisomi pigo zake.huyu manzi ni engineer by profession ila yuko busy balaa, inaweza ikapita hata week nzima hapatikani ukimuuliza anasema alikua site porini huko kwenye project na hakuna network.me napata wakati mgumu sana kumuelewa,nahis huko wanagongana tu na staff wenzie.
Anyone mwenye ako na uzoefu wa kudate ba mdada engineer please help me.
 
Nimekusoma buda
 
Let me tell you this. Haijalishi mwanamke yuko busy namna gani..
Akiwa interested na ww atatenga muda hata iweje.
Yaani anaweza aka risk everything for you.

Ukiona visingizio vya i am busy. Brother jiongeze
 
Well then
Wats said it's said...
 
Kama humuamini achana nae.. But reality hzo ndio changamoto za engineers tunazojutana nazo..

Sometime site hakuna kweli network, hususa hawa wa barabara... Ila kugongana site ni ngumu sana.. Kwa maana sio sehemu rafiki
Wee hujajua genye....
 
Naje wazee?
Aisee,kuna mdada ni engineer tuko nae kwenye mahusiano huu mwezi wa pili lakini dezaini flani kama sizisomi pigo zake.huyu manzi ni engineer by profession ila yuko busy balaa, inaweza ikapita hata week nzima hapatikani ukimuuliza anasema alikua site porini huko kwenye project na hakuna network.me napata wakati mgumu sana kumuelewa,nahis huko wanagongana tu na staff wenzie.
Anyone mwenye ako na uzoefu wa kudate ba mdada engineer please help me.
Ukisha kuwa na hisia hizo basi njia bora ya wew kupata nafuu ni kumuacha tuu hakuna namna ila kama una mpenda na kumuamin basi fanya mambo kuwa mepes kwa kumuacha afanye kazi zake kwa uhuru na unatakiwa kumuamin
 
kama
Naje wazee?
Aisee,kuna mdada ni engineer tuko nae kwenye mahusiano huu mwezi wa pili lakini dezaini flani kama sizisomi pigo zake.huyu manzi ni engineer by profession ila yuko busy balaa, inaweza ikapita hata week nzima hapatikani ukimuuliza anasema alikua site porini huko kwenye project na hakuna network.me napata wakati mgumu sana kumuelewa,nahis huko wanagongana tu na staff wenzie.
Anyone mwenye ako na uzoefu wa kudate ba mdada engineer please help me.

Kwa Sisi waamini, mke mwema hutoka Kwa Mungu! Tafakari
 
Let me tell you this. Haijalishi mwanamke yuko busy namna gani..
Akiwa interested na ww atatenga muda hata iweje.
Yaani anaweza aka risk everything for you.

Ukiona visingizio vya i am busy. Brother jiongeze
I got u sir
 
Fact hii ishi nayo mleta mada!
 
Kama umeshindwa kumuelewa sasa hiv Achana nae tu maana naona hamtakuwa na mwisho mzuri
 
Nina engineer Yuko Tanroad ...
Mwezi wa kumi mwaka Jana alinitia hasara kulambisha Gari Yangu mzinga ..ila kajitahdi kutoa ushirikiano.
Ni mlevi Sana ila uzuri wake anakupa K mda wowote na popote.
Dear scholar love you
 
Back
Top Bottom