Kuna mwenye uzoefu wa kudate na mwanamke Engineer humu?

Kuna mwenye uzoefu wa kudate na mwanamke Engineer humu?

Naje wazee?

Aisee,kuna mdada ni engineer tuko nae kwenye mahusiano huu mwezi wa pili lakini dezaini flani kama sizisomi pigo zake.huyu manzi ni engineer by profession ila yuko busy balaa, inaweza ikapita hata week nzima hapatikani ukimuuliza anasema alikua site porini huko kwenye project na hakuna network.

Me napata wakati mgumu sana kumuelewa,nahis huko wanagongana tu na staff wenzie. Anyone mwenye ako na uzoefu wa kudate ba mdada engineer please help me.
Oya ni yule white yupo kwenye mambo ya reli??
 
Mbona wengine tumeoa hao hao na maisha yanasonga poa kabisa!
 
Kama humuamini achana nae.. But reality hzo ndio changamoto za engineers tunazojutana nazo..

Sometime site hakuna kweli network, hususa hawa wa barabara... Ila kugongana site ni ngumu sana.. Kwa maana sio sehemu rafiki
Kumbuka kula tunda kimasihara huko kwenye mazingira sio rafiki inawezekana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naje wazee?

Aisee,kuna mdada ni engineer tuko nae kwenye mahusiano huu mwezi wa pili lakini dezaini flani kama sizisomi pigo zake.huyu manzi ni engineer by profession ila yuko busy balaa, inaweza ikapita hata week nzima hapatikani ukimuuliza anasema alikua site porini huko kwenye project na hakuna network.

Me napata wakati mgumu sana kumuelewa,nahis huko wanagongana tu na staff wenzie. Anyone mwenye ako na uzoefu wa kudate ba mdada engineer please help me.
Sio tuu siwezi kuoa mwanamke engineer ila hata kuajiriwa na kampuni niwe nashinda maporini sitaki..

Kazi ya uhandisi ni sawa na wafugaji wa kuhama hama ngumu Sana kuwa na stable family hata kama Unapata pesa.
 
Nina engineer Yuko Tanroad ...
Mwezi wa kumi mwaka Jana alinitia hasara kulambisha Gari Yangu mzinga ..ila kajitahdi kutoa ushirikiano.
Ni mlevi Sana ila uzuri wake anakupa K mda wowote na popote.
Dear scholar love you
[emoji848][emoji23]umetisha
 
Back
Top Bottom