Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Aisee,kuna mdada ni engineer tuko nae kwenye mahusiano huu mwezi wa pili lakini dezaini flani kama sizisomi pigo zake.huyu manzi ni engineer by profession ila yuko busy balaa, inaweza ikapita hata week nzima hapatikani ukimuuliza anasema alikua site porini huko kwenye project na hakuna network.
Sasa mzee, kama anaenda mahali hakuna network, hilo sio kosa lake bali mazingira anayokuwepo?
Au ulitaka awe anabeba mnara wa simu kila aendapo?