Naje wazee?
Aisee,kuna mdada ni engineer tuko nae kwenye mahusiano huu mwezi wa pili lakini dezaini flani kama sizisomi pigo zake.huyu manzi ni engineer by profession ila yuko busy balaa, inaweza ikapita hata week nzima hapatikani ukimuuliza anasema alikua site porini huko kwenye project na hakuna network.me napata wakati mgumu sana kumuelewa,nahis huko wanagongana tu na staff wenzie.
Anyone mwenye ako na uzoefu wa kudate ba mdada engineer please help me.
Nimekusoma budaKama humuamini achana nae.. But reality hzo ndio changamoto za engineers tunazojutana nazo..
Sometime site hakuna kweli network, hususa hawa wa barabara... Ila kugongana site ni ngumu sana.. Kwa maana sio sehemu rafiki
Let me tell you this. Haijalishi mwanamke yuko busy namna gani..Naje wazee?
Aisee,kuna mdada ni engineer tuko nae kwenye mahusiano huu mwezi wa pili lakini dezaini flani kama sizisomi pigo zake.huyu manzi ni engineer by profession ila yuko busy balaa, inaweza ikapita hata week nzima hapatikani ukimuuliza anasema alikua site porini huko kwenye project na hakuna network.me napata wakati mgumu sana kumuelewa,nahis huko wanagongana tu na staff wenzie.
Anyone mwenye ako na uzoefu wa kudate ba mdada engineer please help me.
Well thenLet me tell you this. Haijalishi mwanamke yuko busy namna gani..
Akiwa interested na ww atatenga muda hata iweje.
Yaani anaweza aka risk everything for you.
Ukiona visingizio vya i am busy. Brother jiongeze
Wee hujajua genye....Kama humuamini achana nae.. But reality hzo ndio changamoto za engineers tunazojutana nazo..
Sometime site hakuna kweli network, hususa hawa wa barabara... Ila kugongana site ni ngumu sana.. Kwa maana sio sehemu rafiki
Ukisha kuwa na hisia hizo basi njia bora ya wew kupata nafuu ni kumuacha tuu hakuna namna ila kama una mpenda na kumuamin basi fanya mambo kuwa mepes kwa kumuacha afanye kazi zake kwa uhuru na unatakiwa kumuaminNaje wazee?
Aisee,kuna mdada ni engineer tuko nae kwenye mahusiano huu mwezi wa pili lakini dezaini flani kama sizisomi pigo zake.huyu manzi ni engineer by profession ila yuko busy balaa, inaweza ikapita hata week nzima hapatikani ukimuuliza anasema alikua site porini huko kwenye project na hakuna network.me napata wakati mgumu sana kumuelewa,nahis huko wanagongana tu na staff wenzie.
Anyone mwenye ako na uzoefu wa kudate ba mdada engineer please help me.
Naje wazee?
Aisee,kuna mdada ni engineer tuko nae kwenye mahusiano huu mwezi wa pili lakini dezaini flani kama sizisomi pigo zake.huyu manzi ni engineer by profession ila yuko busy balaa, inaweza ikapita hata week nzima hapatikani ukimuuliza anasema alikua site porini huko kwenye project na hakuna network.me napata wakati mgumu sana kumuelewa,nahis huko wanagongana tu na staff wenzie.
Anyone mwenye ako na uzoefu wa kudate ba mdada engineer please help me.
Fact hii ishi nayo mleta mada!Let me tell you this. Haijalishi mwanamke yuko busy namna gani..
Akiwa interested na ww atatenga muda hata iweje.
Yaani anaweza aka risk everything for you.
Ukiona visingizio vya i am busy. Brother jiongeze
Anatenga muda lakini network kikwazo huko alipoLet me tell you this. Haijalishi mwanamke yuko busy namna gani..
Akiwa interested na ww atatenga muda hata iweje.
Yaani anaweza aka risk everything for you.
Ukiona visingizio vya i am busy. Brother jiongeze
Kama anatenga means bas she is real bad place na kazi anayofanya.Anatenga muda lakini network kikwazo huko alipo
We ni boya nini? Ukitaka kumla si mpaka umfate au yeye aje? Au unafikiri nini?Ukitaka kumla inakuaje,?
Ukitaka kumla inakuaje,?