Leo nimepata wasaa wa kupiga story na mzee wa kiafrica akanimbia kwa umri wake wa miaka 90 hajawahi kuona uchawi toka amezaliwa anasikiaga tu.
Just imagine mzee wa miaka 90 hajawahi kuona hicho mnachosema magic
Huo uchawi unaonekana? Mtu anaweza kugusaUchawi ni ni i?
Watu wanaposema huu ni uchawi, wanahakikishaje ni uchawi kweli?
Kwangu mimi kugusa na kutogusa si hoja.Huo uchawi unaonekana? Mtu anaweza kugusa
Je vingine vyote vilivyoko duniani amewahi kuviona? Je uchawi unaonekana kwa macho?Leo nimepata wasaa wa kupiga story na mzee wa kiafrica akanimbia kwa umri wake wa miaka 90 hajawahi kuona uchawi toka amezaliwa anasikiaga tu.
Just imagine mzee wa miaka 90 hajawahi kuona hicho mnachosema magic