Kuna Mzungu Mmoja anaishi kota za SUA Sokoine Campus Kilimo Street, anawaingilia wanaume kinyume na maumbile na jamii SUA inajua miaka mingi

Mamlaka zipi mnazungumzia?
Mashoga wapo wazi wazi tunawaona hasa mitandani na wanajulikana makazi yao hakuna mamlaka yoyote inayoshughulika nao.
Hata mimi nimeshangaa kweli kweli mtu analeta malalamiko kama haya. Kila siku kuna wanaume wengi wanaingiliana na pia kuna wanawake wanakubali kuingiliwa kinyume. Serikali haina say kwa mambo ya watu binafsi. Tena siku hizi mashoga ni wengi kweli kweli.
 
Hili ni janga la taifa kiukweli hali ni tete na inasikitisha sana!!

Namnukuu kiongozi fulani wa wilaya fulani akisisitiza juu ya masuala ya maadili kwa vijana wa kileo!!


" Hongereni sana vijana kwa kuhitimu level hii ya elimu ila ninachowaasa na kuwaomba vijana wangu msijihusishe na mapenzi ya jinsia moja kufanya mapenzi kinyume na maumbile .

Nasikitika sana kwa vijana wa mkoa wetu huu waliomaliza kudato cha 6 mei mwakahuu wameshindwa kuingia jeshini kwa kufukuzwa jeshini Kutokana na kujihudusha na mapenzi kinyume na maumbile! Vijana wa kiume 90 wamefukuzwa JKT katika kambi mbalimbali"


Mwisho wa kunukuu!
Mungu saidia vijana wetu!
 
Mtu mzima kwa akili zake timamu kaamua bila shuruti kuchomekwa utambi , how am I concerned?
Why should I care?
Kumbuka akitoka hapo anarudi mtaani kwako, unamkabidhi acheze na mwanao.....Mwanao kaisha
 
Watu waache kunufaika na huo mradi wa Panya waanze kuchungua anachomekana na nani,

Ingekua anawafanyia Watoto hapo ingekua another issue ila ni watu wazima wenzie,

Heko kwa wakazi wa SUA wanajitambua.
Haya mambo yanasambaa kumbuka, hiyo ni chain, ni kama kirusi kinavyosambaa,, Hao wanaofanywa wanaishi mtaani na watoto wako wanamuita uncle/Kaka/bamdogo...Tafakari
 
Bango lako lingekuwa na mantiki kama tu angekuwa anawaingilia watoto wadogo au angekuwa anafanya na hao watu kwa kuwabaka.
Otherwise hajavunja sheria yoyote thats why yule polisi wa zenji yupo zake huru.
Madhara yake ni makubwa kuliko mnavyofikiri, Sijui mna akili za namna gani mnaofikiri hivi
 
Kashtaki sasa
 
Serikali ina mambo mengi ya kufanya,kweli ianze na kuwachunga watu wasiingiliwe kinyume na maumbile?
Hao watu kwamba wanabakwa au?
Jambo la kufanywa kinyume na maumbile nadhani wanakubaliana,ndomaana hawashtaki.
 
Serikali ina mambo mengi ya kufanya,kweli ianze na kuwachunga watu wasiingiliwe kinyume na maumbile?
Hao watu kwamba wanabakwa au?
Jambo la kufanywa kinyume na maumbile nadhani wanakubaliana,ndomaana hawashtaki.
Vijana wa hapo SUA kulikon kuuza utu wenu Kwa Mzungu?
 
Hakuna anayeona ni kawaida lakini katika Nchi hii hata upige kelele vipi haibadili kitu chochote ni kupoteza muda.
Tena kuna mashoga humu baada ya kuona hili bango kesho wataenda kugonga hodi kwa huyo mzungu. Mzungu kapewa promo..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwenye soka wamejaa teleee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
umenitisha hapo uliposema na "waalimu",. kwa msiojua, wazungu wengi ni mashota au wanawaingilia wanawake kinyume na maumbile. kwa mashoga, huwa wanaapata mradi kuja huku, ila wakiwa huku hawafanyi tu na huo mradi waliokujia, huwa wanakuwa mawakala wa jumuiza za mashoga wa ulaya, ambao wanajifanya wanasaidia mashoga wa bongo, na kwa mgongo huo hao wazungu huwa wanakusanya pesa nyingi na wanazigawa sana, wanaoganize mashoga na wanajenga jamii zao hata hapa bongo. ndio maana utaona hata yule mzungu wamasaki aliyefichuliwa na kina mwakyembe, alikuwa analipia watu apartment masaki ili awe anawalawiti. wajinga sana hawa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] comments za huu uzi, zinachekeshaa hataree!! Woiiiiih
 
Hao wazungu mnawasingizia tyuuh, kila mtu anafanya kwa utashi wake. Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…