Kuna Mzungu Mmoja anaishi kota za SUA Sokoine Campus Kilimo Street, anawaingilia wanaume kinyume na maumbile na jamii SUA inajua miaka mingi

Duh 🙌
 
Huwa anawabaka au wanataka wenyewe? Au amekupunja malipo?
 
Shida ni kwamba wakiachwa tatizo litazidi kuongozeka!
Baadae wataanza movement za kudai haki na pia kudai ndoa za jinsia moja zihalalishwe kama ilivyo kwa nchi za magharibi
Kuna mambo mengine yatakuumiza kichwa bureee. Niya kuyaacha tuu, waache waolewe wakipenda na uwaache pia wapiganie haki zao. Nadhani haitokufanya upungue popote.​
 
Mashoga wapo wengi kitaa, na mabasha kibwena,
Hapo story inashupaliwa kwa sababu kuna mzungu! Dar, zenj,hayo Mambo kila kona
 
Mkuu kuna vitu huwa vinafikisha Sana Anywei...Acha tuendelee kuishi
 
Mtu mzima kwa akili zake timamu kaamua bila shuruti kuchomekwa utambi , how am I concerned?
Why should I care?
Hata kijana wako atakapoamua kufukuliwa matunda daily pia hautajali
 
Siamini nilicho kiona kwnye uzi huu.

Hivi ni kweli watu wengi wako radhi hata ndugu zao (kiume) wafanyiwe hivyo ?? Hivi Mbona inaonesha watu wengi wanakubali huo ukatili ??
 
Kama wizara ya afya(serikali ) iliruhusu Hilo

Wengine mnawaonea bure ,kwa sauti ya mwakyembe na mwanahabari mmoja wakike


Lakini ,kama wangekuwa watoto tungepiga kelele lakini wasomi Tena SUA ,kwakweli hapana
 
anawaingizia watoto wadogo? wanafunzi wa s/msingi au sekondari?

Kuna special grps ambazi endapo zitafanyiwa vitu kama hivyo bas tutachukua hatua
 
Huyu mzungu wa apopo kweli yupo hapo SUA,anakaa kilimo street nyuma ya Suasa club,na hizi tuhuma zilikuwepo kuwa anawaf**a wanaume.Huyu mzungu alinifanya mpaka nikauza gari yangu bila kupenda.
Mwaka 2014 nilianza kusoma masters SUA na nikapanga chumba mtaa wa kididimo,mwaka huo huo nilikuwa nimenunua gari yangu Grande mark2 gx 110 ya silver,nilikuwa naipenda sana ile gari. Baada ya kuanzia masomo nikakuta tena mzungu wa apopo anayo gari kama yangu,inafanana Kila kitu kasoro number plate tu,na zenyewe zilikuwa zinakaribia kufanana.

Sasa kilichokufanya mpaka niuze Ile gari ni kwasababu mzungu alikuwa anawapa Ile gari yake wale vijana aliokuwa anawafi*a wanatanua nayo mtaani. So changamoto ilikuwa ni baadhi ya watu hawezi kutofautisha zile gari,ikawa inaonekana kama ni gari moja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…